KMT Musoma press

KMT Musoma press Tunachapa (print)
1)vifaa vya stationary
2)Vitabu
3)Lebo/sticker za (Maji, Maxima, Ashli, Mafuta) kilikuwa kikichapisha na kuzalisha kazi zote za kanisa.

KANISA LA MENNONITE TANZANIA
MUSOMA PRESS
P.O.BOX 1040
[email protected]

A printing house of kanisa la Mennonite Tanzania

Niwanda cha Uchapishaji kilichopo wilaya ya Musoma mjini mkoa wa Mara (Nyabange mission, jirani kabisa na stendi ya mabasi ya mikoani) kiwanda kinaitwa Musoma press, Kiwanda

kipo chini ya kanisa la Mennonite Tanzania (KMT). Kiwanda hiki cha Musomapress mwanzo kabisa kilikuwa kikijihusisha na shughuli za kanisa, k**a uchapishaji wa Tenzi za rohoni na katekisimo na vitabu mbali mbali vya kanisani. Mwaka 2017 rasimi kiwanda kimeanza kutangazwa na kuingia katika soko. Tunatengeneza kazi/bidhaa mbali mbali, kazi binafisi, kampuni, mashirika na taasisi mbali mbali. Shughuli tunazozifanya ni uchapishaji wa:-

Vitabu aina zote

Stationary (receipt book, invoice, Local purchase order, payment voucher, project payment voucher, madafutari nk)

Lebo/stickers za bidhaa mbali mbali k**a mafuta, asali, maziwa, maji nk

Vipeperushi na matangazo mbalimbali

Kadi aina zote na shughuli zote zinahusu uchapishaji

Address

Musoma

Telephone

+255765399321

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KMT Musoma press posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to KMT Musoma press:

Share

Our story

KANISA LA MENNONITE TANZANIA MUSOMA PRESS P.O.BOX 1040 [email protected] +255 765 399 321

Tuna uzoefu wa miaka mingi katika fani ya uchapaji, mitambo ya kisasa na waendesha mashine wazoefu sana. Shughuli tunazozifanya ni uchapaji wa:- Vitabu aina zote

Bus Tickets Stationary (receipt book, invoice, Local purchase order, payment voucher, project payment voucher, madafutari nk..........) Lebo/stickers za bidhaa mbali mbali k**a mafuta, asali, maziwa, maji nk Vipeperushi na matangazo mbalimbali Kadi aina zote na shughuli zote zinahusu uchapaji