08/06/2026
Wafugaji wa Kuku wa coast , hii si ya kukosa! Miavit Kenya Ltd kwa ushirikiano na Sigma Feeds Ltd wanakualika kwa upendo kwenye Semina ya Wafugaji wa Kuku (Farmers Poultry Seminar). Njoo ujifunze mbinu bora za lishe na utunzaji ili uboreshe mradi wako wa ufugaji!
Kwa maelezo mengi tazama kwenye posta ama uwasiliane nasi kwenye nambari: +254708892555
Mwalike na mwenzako tushirikiane kukuza sekta ya ufugaji! ๐