Kasanda Engineering Limited Solutions - KELS

Kasanda Engineering Limited Solutions - KELS Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kasanda Engineering Limited Solutions - KELS, Science, Technology & Engineering, Sakarya, Serdivan.

KENL is an engineering company offering design, analysis, simulation, manufacturing, maintenance, and construction services across mechanical, electrical, civil, automobile, mechatronics, and computer engineering, plus training and consulting.

04/04/2026

Nilikuwa ninatamani sana kufanya kitu ambacho kitakuwa na Manufaa zaidi kwa Jamii yangu na Ulimwengu mzima kwa ujumla. Ndipo likanijia wazo la kuandika kitabu hiki kinaitwa "GEARS AND DREAMS - The Life of Mechanical Engineers ".
Ndani ya kitabu hiki nimeelezea nini maana halisi ya Uhandisi wa Mitambo, Ni kazi zipi wanaweza kufanya, ni namna gani wanashirikiana na wahandisi wengine au watu wa kada nyingine, ni biashara zipi unaweza kuzifanya katika kada hii, fursa zilizopo, changamoto mbalimbali zilizopo pia jinsi ya kuzitatua na mambo mengine mengi zaidi.
Hiki kitabu hakina mipaka, Mtu yeyote anaweza kukisoma awe mwanafunzi wa sekondari, Mzazi, Wanachuo wa kozi zote, Wahandisi, Madaktari, Kifupi ni kwamba kwa yeyote atakayekisoma kinamanufaa makubwa sana kwako.

Kwasasa tupo na Copy yake katika Mfumo wa Soft Copy, ambapo gharama yake ni 10,000/= tuu. Uli uweze kujipatia hiyo copy unaweza kuwasiliana nami au kwa WhatsApp No. +905376838491 au +255769948264.

pia unaweza kukipata direct kupitia link hii

https://sites.google.com/view/kasandaengineering/products?pli=1

Hello Everyone!Ninafuraha kuwatangazia kwamba kutakuwa na Short course ya AutoCAD Proficiency kwa muda wa wiki mbili (10...
04/03/2025

Hello Everyone!

Ninafuraha kuwatangazia kwamba kutakuwa na Short course ya AutoCAD Proficiency kwa muda wa wiki mbili (10-24 March) katika kipindi hiki cha likizo. Mafunzo haya yanalenga kukupa ujuzi wa msingi wa kutumia *AutoCAD*, moja ya programu muhimu zaidi katika tasnia mbalimbali.

Baada ya kukamilisha kozi hii, utapata cheti cha ushiriki, ambacho kitakufanya kuwa na sifa za kutekeleza kazi zinazohusiana na CAD hata ukiwa bado unasoma. Hii ni fursa nzuri kwani badala ya kusubiri miaka minne hadi upate cheti cha shahada ndipo uanze kutafuta ajira, unaweza kupata ujuzi mapema na kuanza kujenga msingi wa taaluma yako sasa.

Kutokana na mahitaji makubwa ya matumizi ya programu za CAD katika fani mbalimbali, tumechagua AutoCAD k**a hatua ya kwanza ya msingi. Mafunzo haya yanafunguliwa kwa wanafunzi wa faculty zote, ikiwa ni pamoja na Engineers, Technicians, na yeyote anayehitaji kuongeza ujuzi wa CAD.
Ikiwa unataka kuongeza uwezo wako wa kitaaluma na kukuza nafasi zako za ajira, hii ni nafasi ambayo hupaswi kuikosa!
Kwa maelezo zaidi na usajili, tafadhali wasiliana nami.
Mr. Daniel R Kasanda
+255769948264
Mechanical, Mechatronics and Industrial Engineering Department

Merry Christmas to You and Your Family 🥳💝
24/12/2024

Merry Christmas to You and Your Family 🥳💝

Address

Sakarya
Serdivan
15440

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00

Telephone

+255769948264

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kasanda Engineering Limited Solutions - KELS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kasanda Engineering Limited Solutions - KELS:

Share