Loti Gas

Loti Gas Loti Gas inatoa suluhisho salama, safi, na la kuaminika la nishati ya gesi kwa ajili ya upishi wa kisasa. Tunapatikana Arusha, Tanzania.

Zingatia usalama kwanza: Hakikisha unaponunua mtungi mpya wa Loti Gas, mtungi huo uwe umezibwa na kizibo maalumu (sili) ...
21/05/2026

Zingatia usalama kwanza: Hakikisha unaponunua mtungi mpya wa Loti Gas, mtungi huo uwe umezibwa na kizibo maalumu (sili) kwa juu.

Kizibo hicho kina nembo ya Loti Gas. K**a mtungi wako haujazibwa kwa sili hiyo maalumu basi usinunue mtungi huo kwani haujakidhi vigezo vya mtungi halisi kutoka Loti Gas.

PIga simu 0771 700 600 kupata huduma zaidi kutoka Loti Gas,

Kwa wauzaji pia tumefikia! Ukienda dukani kwa mangi, kwa mpemba au kwa Ngosha utatukuta Loti Gas.Fika kwenye duka la mmo...
19/05/2026

Kwa wauzaji pia tumefikia! Ukienda dukani kwa mangi, kwa mpemba au kwa Ngosha utatukuta Loti Gas.

Fika kwenye duka la mmoja wao lilio karibu nawe na ujipatie Loti Gas kwani inapatikana madukani sasa, jiji la Arusha.

Wakazi wote wa Arusha, sasa ni rahisi zaidi kupata gesi kwa matumizi ya kila siku. Unaweza kununua Loti Gas inayopatikan...
15/05/2026

Wakazi wote wa Arusha, sasa ni rahisi zaidi kupata gesi kwa matumizi ya kila siku. Unaweza kununua Loti Gas inayopatikana kwenye maduka mbalimbali pamoja na kituo cha mafuta cha Loti Energies kilichopo Muriet, Arusha.

Mapishi bora ni matamu zaidi na Loti Gas.

Usalama kwanza ni muhimu sana wakati wa kupika. Hakikisha unafuata taratibu sahihi ili kulinda usalama wa mtumiaji,  fam...
14/05/2026

Usalama kwanza ni muhimu sana wakati wa kupika. Hakikisha unafuata taratibu sahihi ili kulinda usalama wa mtumiaji, familia yako, biashara yako na mali zako dhidi ya madhara yanayoweza kusababishwa na gesi ya kupikia.

Tupo kwenye maisha yako ya kila siku na hizi ndio bei za kujaza mtungi.Karibu Loti Gas,  gesi ya kuaminika kwako.       ...
12/05/2026

Tupo kwenye maisha yako ya kila siku na hizi ndio bei za kujaza mtungi.

Karibu Loti Gas, gesi ya kuaminika kwako.

Misosi ni mitamu zaidi pale inapoliwa kwa pamoja k**a familia na unapotumia Loti Gas.
11/05/2026

Misosi ni mitamu zaidi pale inapoliwa kwa pamoja k**a familia na unapotumia Loti Gas.

Popote unapopika sisi tupo. Nyumbani, sokoni, kwa mama lishe Loti Gas ni sehemu ya maisha yako.
08/05/2026

Popote unapopika sisi tupo.

Nyumbani, sokoni, kwa mama lishe Loti Gas ni sehemu ya maisha yako.

Iwe unapika supu au chips yai Loti gas inafaa kwa pishi la aina yoyote.
06/05/2026

Iwe unapika supu au chips yai Loti gas inafaa kwa pishi la aina yoyote.


Unapenda kupika nini na mtungi wako wa Loti Gas?-Wali-Maharage-Kuku-Supu-UgaliTuambie kwenye comments.
04/05/2026

Unapenda kupika nini na mtungi wako wa Loti Gas?

-Wali
-Maharage
-Kuku
-Supu
-Ugali

Tuambie kwenye comments.

Gesi yako imeisha katikati ya msosi? Usipate stress Tupigie 0771 700 600 tukufukishie chap!Furahia Mapishi yako na gesi ...
01/05/2026

Gesi yako imeisha katikati ya msosi? Usipate stress Tupigie 0771 700 600 tukufukishie chap!

Furahia Mapishi yako na gesi ya Loti.

Wateja hawapendi kusubiri,  wanataka huduma ya haraka na uhakika. Loti Gas ipo kukuwesesha kupika kwa amani na spidi ina...
29/04/2026

Wateja hawapendi kusubiri, wanataka huduma ya haraka na uhakika. Loti Gas ipo kukuwesesha kupika kwa amani na spidi inayohitajika.

Ongeza spidi ya biashara yako kwa kutumia nishati ya kuaminika.

Nunua Loti Gas madukani kote Arusha au tupigie 0771 700 600

Address

East Africa Bypass RD Terrat
Arusha Chini

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Loti Gas posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category