31/01/2026
MKOPO wa UJENZI- Kiwanja Chako Nyumba Yako!
Simu: 0739 282802
Tunajenga Unaishi huku Unalipa Kodi Kidogo Kidogo huku ukiwa unamiliki nyumba yako!
Faida za Huduma Hii
1. Unapata msaada wa kitaalamu kuanzia ramani, makadirio ya gharama, hadi usimamizi wa ujenzi
2. Hakuna presha ya malipo unalipa taratibu k**a kodi ya kupanga
3. Inafaa kwa ujenzi mpya au ukarabati wa aina yoyote ya nyumba mpaka billion moja (1,000,000,000)
4. Uwazi wa gharama kwa kila hatua ya mradi, bila gharama zilizofichwa
Jinsi ya Kuomba
1. Wasiliana na Ramani Kali kwa simu au kwa kutembelea ofisi
2. Jaza fomu ya maombi na ulipie gharama za uchakataji (processing fee)
3. Wasilisha kitambulisho (NIDA, leseni ya udereva au pasipoti) pamoja na hati za umiliki wa kiwanja (copy)
4. Kufanyika kwa uhakiki wa kiwanja (verification)
5. Thibitisha mahitaji ya ujenzi au ukarabati
6. Kuandaliwa kwa michoro (ramani) na makadirio ya gharama
7. Kukamilisha mkataba na kuanza mchakato wa ujenzi au ukarabati
Masharti Muhimu
1. Mwombaji anatakiwa kuwa na NIDA, leseni ya udereva au pasipoti
2. Kiwanja kinapaswa kuwa bila mgogoro
3. Malipo yote yanazingatia masharti ya huduma (terms & conditions)
4. Huduma inapatikana kwa nyumba za makazi au biashara
5. Huhitaji dhamana nyingine Nyumba husika itakuwa dhamana