Teknolojia mpya

Teknolojia mpya Karibu tujifunze teknolojia,na mifumo ya teknolojia

05/04/2024

JINSI YA KUWA HACKER

Hacking ni kitendo cha kutafuta mapungufu(vulnerabilities) katika mfumo wa computer au mtandao(network) na kutumia mapungufu hayo ili kuweza kuingia katika mfumo. Kuwa Hacker si kitu rahisi k**a tunavyodanganywa kwenye movies za hollywood. Ili uwe Hacker uliyekamilika unahitaji kuwa na ujuzi ufuatao;

1. Misingi ya Computer
Ni lazima ujue jinsi computer inavyofanya kazi, jinsi gani CPU inafanya kazi, jinsi gani RAM inafanya kazi. Pia unatakiwa kuwa na ujuzi wa hardware ya computer. Jifunze kutumia operating system ya Windows na program mbalimbali k**a vile powershell, registry editor na group policy editor. Pia ukiweza jifunze macos.

2. Programming
K**a hacker unatakiwa uwe na ujuzi wa lugha za computer (programming language) zaidi ya moja. Client side language k**a javascript, serverside language k**a PHP na SQL, scripting language k**a python, low level language k**a Assembly na C.

3. Networking
Asilimia kubwa ya shughuli za hacking zinafanyika kwenye mtandao (network).Unakiwa uwe na ujuzi wa aina mbalimbali za Network Protocols, pia unatakiwa kujua tools mbalimbali za networking kam vile wireshark na nmap.

3. Linux/Unix
Program nyingi za kufanyia Hacking zinapatikana kwenye operating system ya linux pekee, hivyo kwa kuijua linux itakuwezesha kuzitumia program hizo kiufasaha. Pia server nyingi zinatumia linux hivyo itakusaida kuzicontrol kiurahisi.

4. Cryptography
Cryptography ni sayansi ya kuficha taarifa ili zisimfikie mtu asiyehusika. Kwa kuijua cryptography itakusaidia kuingia kiurahisi katika mifumo inayotumia encryption, pia itakusaidia kuficha program zako (malware/virus) zisigundulike kiurahisi

5. Jifunze Exploits mbalimbali
Unatakiwa ujue exploits mbalimbali k**a vile OWASP top 10 zote, Buffer overflows, Active Directory misconfugurations.

6. Fanya majaribio
Fanya majaribio kwa kuhack mifumo mbalimbali iliyotengenezwa ka ajili ya majaribio k**a vile metsploitable, shiriki mashindano ya CTF , Itakusaidia kuongeza

Hizi ni baadhi ya tools 10 za AI (Artificial Intelligence) ambazo unaweza ukapata msaada kiasi katika mambo kadhaa1. Sto...
05/04/2024

Hizi ni baadhi ya tools 10 za AI (Artificial Intelligence) ambazo unaweza ukapata msaada kiasi katika mambo kadhaa
1. Stockimg.ai - Itakusadia kupata ideas ya kutengeneza logo kwa ku-generate logos mbalimbali za mifano kwa ajili yako
2. KickResume.com - Utapata urahisi wa kutengenezewa au ku-generate Resume/CV yako
3. AISEO.ai - Paraphrasing tool
4. Fliki.ai - Itakusaidia kubadilisha maandishi kuwa video ila mara nyingi hapa maandishi yanayokubali ni yale yenye lugha zile kuu duniani, yaani Kiingereza, Kifaransa nk.
5. Tome.app - Storytelling
6. Tutorai.me - Utajifunza jambo lolote unalohitaji kulifahamu, tena kwa mfumo mzuri sana, kuanzia Introduction ya kitu mpaka final yake
7. Validatorai.com - Business ideas
8. Palette.fm - Itakusaidia kubadilisha picha za Black & White kuwa kwenye mfumo wa rangi, au zile picha za zamani kuwa kwenye mfumo wa rangi
9. Kinetix.tech - 3D animations
10. Mage.space - Itakubadilishia maandishi yako kuwa mfumo wa picha.

Ahsante!

Create your best resume yet. Online resume and cover letter builder used by 5,000,000 job seekers worldwide. Professional templates approved by recruiters.

05/04/2024

Ww💨 DARK WEB
prepared by POVID-20

✴ Usijaribu kuingia kwenye hii website rafiki, Utafanywa bidhaa.

✴ Zijue Biashara zinazofanyika huko, sio Biashara za kuuza nyanya na barakoa.

✴ Kwanini iPhone haidukuliki? Ma-hacker wa dunia wapo huku.

✴ Twende chap chap
•INTERNET imegawanyika katika makundi 3, kuna; Surface web, Deep web na Dark web ambayo ipo ndani ya Deep web.

✴ Surface web ni hii ambayo tunaitumia sisi watu wa public. Imebeba Google,Yahoo,YouTube, Social media na website mbalimbali. Ina 5% ya internet

✴ Dark web ni web inayotoa maudhui kwenye kiza kwa kutumia software na application maalumu. Darkweb Hii ni sehemu ya deep web ila haipo kwenye search engine ya deep web.

✴ Inatoa mawasiliano ya mtu na mtu au Kikundi na kikundi kwa kutumia software k**a TOR, FREENET, 12P na REFFLE.

✴ Tor browser ni baadhi ya browsers inayotumiwa ikiwa na kiunganisho cha .union, sisi wa nit tushazoea .com yetu.

✴ Logo ya Tor ni kitunguu ikiwa na maana taarifa zako zipo safe, ila ukiingia kichwa kichwa tunajua kwamba kitunguu kinatoaga watu machozi. Utalia

✴ Huku zinafanyika Biashara nyingi sana sana sana. Sio Biashara za kuuza nyanya na matango ufikiri kwamba ukanunue barakoa na sanitizer ukatafute soko dark web.

✴ Utafanywa bidhaa my friend. Huku zinafanyika Biashara za passport fake, Uuzaji wa Madawa ya kulevya, risasi,

✴ vitabu,k**ari, bitcoin (U*i wake utakuja) na zile Biashara za tabia mbaya.

✴ Ualifu mwingi unafanyika humu vikundi k**a ISIS vinafanya mikutano yao humu

TANGAZO LA AJIRA TRCS🦠Wizara Ya Red Cross Imetoa Tangazo la Nafasi Za Kazi Kwa Watanzania Wote,🦠Tumia hii link apo chini...
05/04/2024

TANGAZO LA AJIRA TRCS

🦠Wizara Ya Red Cross Imetoa Tangazo la Nafasi Za Kazi Kwa Watanzania Wote,

🦠Tumia hii link apo chini kufanya application,
Huwezi jua bahati Yako 🥂

https://ajiranasi.com/2024/04/trcs-vacancy-opportunity-april-2024/

🦠 Kwisha 🦠

The Tanzania Red Cross Society (TRCS) is a vital humanitarian organization operating within the East African nation...

Address

Arusha

Telephone

+255750563621

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Teknolojia mpya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share