Nyumba za kisasa

Nyumba za kisasa Eng. Mac Mzigaba
+255693227551
+255766057921
Tupo arusha mjini
Ramani|Ushauri|Ujenzi|Makadirio (BOQ). AMINI,AMUA,FANYA.

NYUMBA YA VYUMBA VITATU IKIWA NA STUDY ROOM KWENYE ENEO DOGO LA MITA 20 KWA 20.Eneo Hilo inabaki sehemu ya Fence, Parkin...
11/03/2026

NYUMBA YA VYUMBA VITATU IKIWA NA STUDY ROOM KWENYE ENEO DOGO LA MITA 20 KWA 20.

Eneo Hilo inabaki sehemu ya Fence, Parking ya Gari Moja, sehemu ya shimo la Maji taka na Mengineyo K**a Watoto kucheza.

RAMANI YAKE IPO HIVI:-
✔️ 1 Master Bedroom
✔️ 1 Self Bedroom
✔️ 1 Normal Bedroom
✔️ Sitting room
✔️ Dinning
✔️ Kitchen & Store
✔️ Study room
✔️ Public toilet
✔️ 2 Verandah

Kila chumba Cha Kulala kina uwezo wa kukaa kitanda cha sita Kwa sita na Nafasi ikabaki Kwa mahitaji ya kabati, Meza, sofa na Mengineyo.

📐 UKUBWA WA SITE NI MITA 20 KWA 20 (FUTI 66 KWA 66) AU HATUA 23 KWA 23 ZA MIGUU.

ORODHA YA MATERIAL MUHIMU HADI HATUA YA KUPAUA:-

✔ Sementi - 12.25tonnes
✔ Mchanga (Gari kubwa) 12m³ - 4tripu
✔ Tofali za Block (6inch) - 2080Pcs
✔️ Tofali za Block (5inch) - 4076Pcs
✔️ Nondo za milimita 10 - 115Pcs
✔️ Ring bar R6 - 64Pcs
✔️ Binding wire - 1.5bundle
✔ Bati za msauzi (10ft) - 190Pcs.

MPAKA HATUA YA KUPAUA INAGHARIMU MILIONI 40 HADI 50.

👷 GHARAMA ZA UFUNDI
✔ Zimejumuishwa kwenye gharama za Ujenzi.

WATEJA WOTE WALIOFANIKIWA KUNUNUA RAMANI WALIPATA:
🛑Makadirio ya Vifaa Vya Ujenzi yanayoonyesha Idadi na Gharama za material Kila Hatua ya Ujenzi, Muda wa kukamilika Kwa Ujenzi, Gharama za Ufundi, Hela ya Tahadhali.
🛑 Ushauri na Muongozo Wakati wa Ujenzi.

📞 WASILIANA NA ENG. MAC
📲 Piga/WhatsApp:
+255 693 227 551 | +255 766 057 921

📍 Tupo Arusha Mjini
🌍 Huduma zetu zinakufikia popote ulipo Tanzania

AMINI, AMUA, FANYA
👉 Chukua uamuzi leo, jenga kwa ramani sahihi, epuka hasara na anza ujenzi kwa uhakika.

📲 JIUNGE NA WHATSAPP GROUP (Elimu + Ushauri wa Ujenzi + Majibu ya Maswali ya Ujenzi)

https://chat.whatsapp.com/ChhCBsRL5ud0MZYV4zBlAC

🔥 Pata Ramani + Makadirio + Ujenzi, vyote sehemu moja.

11/03/2026

Eng. Mac
0693227551
0766057921

TUPO arusha Mjini

MAMBO USIYOYAJUA KUHUSIANA NA NYUMBA YA BATI LA KUFICHA.Watu Wengi wanavutiwa na Muonekano & Uchache wa Bati Kwa Nyumba ...
07/03/2026

MAMBO USIYOYAJUA KUHUSIANA NA NYUMBA YA BATI LA KUFICHA.

Watu Wengi wanavutiwa na Muonekano & Uchache wa Bati Kwa Nyumba ya Hidden roof (Paa la kuficha).

Lakini Zaidi ya asilimia 80 wanahitaji kujenga Nyumba ya PAA LA KUFICHA ni kwa sababu inatumia BATI CHACHE Pasipo kujua Kuwa Inatumia material haya Kwa Wingi:-
🏅Sementi
🏅Mchanga
🏅 Kokoto
🏅 Nondo
🏅 Tofali za block

PIA INAHITAJI GHARAMA KUBWA WAKATI UNAISHI NA KABLA YA KUANZA KUISHI
Kwa sababu inahitaji Vitu hivi:-

💰 Vifaa Vya kudhibiti ya Hali ya joto yaani AC au Feni.

💰 Madirisha mkubwa, Ili hewa ipatikane ya kutosha lakini Usiku inakuwa na uhitaji wa Feni au AC kupunguza joto.

💰 Finishing ya Kisasa ya Kuta Ili iwe na muonekano wa kuvutia na Iweze kudumu muda Mrefu bila marekebisho. Kwa sababu inategemea Kuta Ili iwe na Mvuto.

💰 Ukarabati wa Nyumba, K**a umejenga vile inavyotakiwa, Inahitaji Kila Baada ya Miaka 5 Hadi 8 uifanyie Ukarabati Ili Ibaki kuwa na Mvuto muda Wote.

💰 Usafi, Kila Baada ya Miezi 6 Hadi 8, Paa linatakiwa kusafishwa na kusiwe na miti Mirefu Karibu na Nyumba Yenye kudondosha uchafu Inaweza kupelekea kuoza Kwa Bati ukifika Msimu wa Masika.

VITU VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUJENGA.
🛑 Umbali mdogo wa Paa mpaka kwenye gutter ya Zege, Paa linatakiwa kuwa na Umbali usiozidi mita 7.5 kufikia gutter Ili kuzuia Maji kuwa Mengi maana Bati halina slope Kubwa.

🛑 Bomba za kushusha Maji, Kwenye gutter ya Zege Yenye Urefu zaidi ya Mita 6 Bomba za kushusha Maji Zinatakiwa kuwa Mbili Kwa ajili ya kuzuia Maji kuwa Mengi.

🛑 Slope ya gutter, Gutter ya ZEGE Inatakiwa kuwa na slope ya kutosha Ili kuzuia Maji kutuama Hata Yakiwa Kidogo.

🛑 Cap Juu ya Kuta ya Nyumba, inatakiwa kuwa na Unene WA inch 4, Kwa ajili ya urembo na Kuzuia Maji kulowesha ukuta pamoja na kupata fangasi ya Ukuta.

🛑 Bati za kupima, Tumia Bati za kupima na zisiwe hizi za mita 3, Ili kupunguza Wingi wa Misumari na maungio mengi yanayoweza kupelekea kuvuja Kwa paa maana PAA halina slope Kubwa.

🛑 Ugongaji wa Misumari, Inatakiwa kabla ya kugongwa kwenye Bati inapakwa silicon Ndiyo inagongwa ili kuzuia kutokuwa na Nafasi yeyote kuruhusu Maji kupenya Ndani ya Nyumba

🛑 Ukubwa wa gutter, Inatakiwa kuwa na Upana usio chini ya sentimenta 60 na Kimo cha sentimenta 30 unaweza kuwa Zaidi lakini Usiwe chini ya Hapo. Ili Kuwezesha Maji kutelemka Kwa urahisi.

🛑 Waterproofing material, Tumia Material ya Sika ya waterproofing kuzuia Kuta ya juu ya Paa kufyoza Maji na KUTUNZA Maji.

Naimani Kuna Kitu umejifunza, Umeongeza.

NB: Nyumba ya Bati la kuficha ni Kwa ajili ya wale Wenye uchumi wa Kati na Uchumi mkubwa na Si wale wanaohitaji Nyumba ya gharama Nafuu.

Eng. Mac
+255693227551
+255766057921
TUPO ARUSHA MJINI.

JENGA NA NUNUA RAMANI KWA ENG. MAC, ILI UJENZI KISASA HUKU UKIJUA KILA KITU KUHUSIANA NA UJENZI WA NYUMBA YAKO YAANI:-

✔️ Idadi & Gharama za Material Kwa Kila Hatua ya Ujenzi Hata ukiwa unahitaji kujenga Kwa Awamu
✔️ Gharama za Ufundi na Muda wa kukamilika Kwa Ujenzi Kwenye Kila Hatua.
✔️ Muonekano na Mpangilio wa Kisasa wa Nyumba ya Ndoto Yako.

YOTE HAYA UNAYAPATA UKINUNUA RAMANI TU, Unapata Package ya michoro na BOQ.

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP:-
https://chat.whatsapp.com/ChhCBsRL5ud0MZYV4zBlAC?mode=gi_t

TUPO ARUSHA MJINI.
AMINI, AMUA, FANYA.

04/03/2026

4 BEDROOM HOUSE
NYUMBA YA VYUMBA VINNE

Ipo hivi:-
🛌1 Master bedroom
🛏️2 Self Bedroom
🛏️1 Normal Bedroom
🧑‍🍳Kitchen & Store
🚽Public toilet
🛋️Sitting room
🍽️Dinning Room
🤾‍♂️2 Verandah

Eng. Mac
0693227551
0766057921
TUPO ARUSHA MJINI
🇹🇿

NYUMBA YA VYUMBA VIWILI, INAFAA KWA WENYE ENEO DOGO NA WENYE UHITAJI WA KUWEKEZA NYUMBA ZA KUPANGISHA.INAKAA KWENYE KIWA...
03/03/2026

NYUMBA YA VYUMBA VIWILI, INAFAA KWA WENYE ENEO DOGO NA WENYE UHITAJI WA KUWEKEZA NYUMBA ZA KUPANGISHA.

INAKAA KWENYE KIWANJA CHA MITA 15 KWA 12 (180Sqm) au (Futi 50 Kwa 40) AMA HATUA ZA MIGUU 18 KWA 15. Au site yenye ukubwa Zaidi.

Kwa ukubwa Huo na Nafasi Inabaki Kwa ajili ya Parking ya Gari Moja na Fence pamoja Madogo Madogo.

RAMANI YAKE IPO HIVI:-
✔️ 1 Self Bedroom
✔️ 1 Normal Bedroom
✔️ Sitting room
✔️ Kitchen
✔️ Public toilet
✔️ 2 Verandah

Vyumba Vyake ni Vikubwa na Vinazingatia mahitaji ya Kisasa.

ORODHA YA MATERIAL MUHIMU HADI HATUA YA KUPAUA:-

✔ Sementi - 4.5tonnes
✔ Mchanga (Gari Ndogo) 3m³ - 5tripu
✔ Tofali za Block za Msingi (6inch) - 745Pcs
✔️ Tofali za Block (5inch) - 1645Pcs
✔️ Nondo za milimita 10 - 38Pcs
✔️ Ring bar R6 - 26Pcs
✔️ Binding wire - 8Kgs
✔ Bati za msauzi (10ft) - 69Pcs.

GHARAMA ZAKE ZA UJENZI ZIPO HIVI:-
💰Hatua ya Msingi ukiwa na Jamvi - milioni 5 Hadi Milioni 8.
💰 Hatua ya Msingi bila Jamvi - milioni 3 Hadi milioni 5.5.
💰 Boma - Milioni 3.5 Hadi Milioni 6.5.
💰 Paa - Milioni 2.5 Hadi milioni 5.5.

HIVYO GHARAMA ZAKE ZA UJENZI IPO HIVI.

KUANZIA MSINGI MPAKA HATUA YA BOMA KABLA YA KUPAUA - NI MILIONI 8 HADI MILIONI 13.5.

KUANZIA MSINGI MPAKA KUPAUA MILIONI 10m5 HADI MILIONI 19.

👷 GHARAMA ZA UFUNDI
✔ Zimejumuishwa kwenye gharama za Ujenzi.

Eng. Mac anaandalia Ramani Wateja Wote wanaohitaji kujenga Kisasa yaani anakuwa anajua Kila Kitu kuhusiana na Ujenzi wa Nyumba yake, Kabla ya Kuanza Ujenzi.

Anakuwa anajua Idadi na Gharama za material, Muda wa kukamilika Kwa Ujenzi na Gharama za Ufundi, Pamoja na Jinsi itakavyokuwa Nyumba.

📞 WASILIANA NA ENG. MAC
📲 Piga/WhatsApp:
+255 693 227 551 | +255 766 057 921

📍 Tupo Arusha Mjini
🌍 Huduma zetu zinakufikia popote ulipo Tanzania

AMINI, AMUA, FANYA
👉 Chukua uamuzi leo, jenga kwa ramani sahihi, epuka hasara na anza ujenzi kwa uhakika.

📲 JIUNGE NA WHATSAPP GROUP (Elimu + Ushauri wa Ujenzi + Majibu ya Maswali ya Ujenzi)

https://chat.whatsapp.com/ChhCBsRL5ud0MZYV4zBlAC

🔥 Pata Ramani + Makadirio + Ujenzi, vyote sehemu moja.

03/03/2026

2 BEDROOM HOUSE.

Inakaa kwenye Kiwanja Cha Mita 15 kwa 10.

Eng. Mac
0693227551
0766057921
TUPO ARUSHA MJINI.

Karibu kwa Ramani+Ushauri+Ujenzi+Makadirio ya Vifaa Vya Ujenzi.

NYUMBA YA VYUMBA VINNE MSINGI UNATUMIA TOFALI 1625 TU.INAKAA KWENYE KIWANJA CHA MITA 18 KWA 22 (396Sqm) au (Futi 71.6 Kw...
02/03/2026

NYUMBA YA VYUMBA VINNE MSINGI UNATUMIA TOFALI 1625 TU.

INAKAA KWENYE KIWANJA CHA MITA 18 KWA 22 (396Sqm) au (Futi 71.6 Kwa 60) AMA HATUA ZA MIGUU 21 KWA 25 NA ZAIDI.

Kwa ukubwa Huo na Nafasi Inabaki Kwa ajili ya Fence, Parking ya Gari Moja, sehemu ya shimo la Maji taka na Mengineyo K**a sehemu ya kucheza Watoto.

RAMANI YAKE IPO HIVI:-
✔️ 1 Master Bedroom
✔️ 2 Self Bedroom
✔️ 1 Normal Bedroom
✔️ Sitting room
✔️ Dinning
✔️ Kitchen & Store
✔️ Public toilet
✔️ 2 Verandah

Kila chumba Cha Kulala kina uwezo wa kukaa kitanda cha sita Kwa sita na Nafasi ikabaki Kwa mahitaji ya kabati, Mengineyo.

ORODHA YA MATERIAL MUHIMU HADI HATUA YA KUPAUA:-

✔ Sementi - 11.5tonnes
✔ Mchanga (Gari kubwa) 12m³ - 3tripu
✔ Tofali za Block za Msingi (6inch) - 1625Pcs
✔️ Tofali za Block (5inch) - 3800Pcs
✔️ Nondo za milimita 12 - 120Pcs
✔️ Ring bar R6 - 64Pcs
✔️ Binding wire - 1.5bundle
✔ Bati za msauzi (10ft) - 187Pcs.

GHARAMA ZAKE ZA UJENZI ZIPO HIVI:-
💰Hatua ya Msingi ukiwa na Jamvi - milioni 12 Hadi Milioni 19.
💰 Hatua ya Msingi bila Jamvi - milioni 8 Hadi milioni 15.
💰 Boma - Milioni 8 Hadi 14.
💰 Paa - Milioni 10 Hadi milioni 20.

HIVYO GHARAMA ZAKE ZA UJENZI IPO HIVI.

KUANZIA MSINGI MPAKA HATUA YA BOMA KABLA YA KUPAUA - NI MILIONI 25 HADI MILIONI 35.

KUANZIA MSINGI MPAKA KUPAUA MILIONI 40 HADI MILIONI 55.

👷 GHARAMA ZA UFUNDI
✔ Zimejumuishwa kwenye gharama za Ujenzi.

Eng. Mac anajengea na kuandalia Ramani Wateja Wote wanaohitaji kujenga Kisasa yaani anakuwa anajua Kila Kitu kuhusiana na Ujenzi wa Nyumba yake.

Kabla ya Kuanza Ujenzi anakuwa anajua Idadi na Gharama za material, Muda wa kukamilika Kwa Ujenzi na Gharama za Ufundi, Pamoja na Jinsi itakavyokuwa Nyumba.

📞 WASILIANA NA ENG. MAC
📲 Piga/WhatsApp:
+255 693 227 551 | +255 766 057 921

📍 Tupo Arusha Mjini
🌍 Huduma zetu zinakufikia popote ulipo Tanzania

AMINI, AMUA, FANYA
👉 Chukua uamuzi leo, jenga kwa ramani sahihi, epuka hasara na anza ujenzi kwa uhakika.

📲 JIUNGE NA WHATSAPP GROUP (Elimu + Ushauri wa Ujenzi + Majibu ya Maswali ya Ujenzi)

https://chat.whatsapp.com/ChhCBsRL5ud0MZYV4zBlAC

🔥 Pata Ramani + Makadirio + Ujenzi, vyote sehemu moja.

02/03/2026
01/03/2026

3 BEDROOM HOUSE WITH STUDY ROOM.

(Nyumba ya Vyumba Vitatu yenye Study Room)
Inakaa kwenye Kiwanja Cha Mita 20 kwa 20.

Eng. Mac
0693227551
0766057921
TUPO ARUSHA MJINI.

Karibu kwa Ramani+Ushauri+Ujenzi+Makadirio ya Vifaa Vya Ujenzi.

You can also follow on Instagram to see more reels & Video
28/02/2026

You can also follow on Instagram to see more reels & Video

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyumba za kisasa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share