04/06/2026
Today, we had the privilege of being visited by the together with other stakeholders such as and others from different countries to explore how we can collaborate with research institutions in commercializing innovations developed by these institutions. It has been especially encouraging to see how impressed the World Bank was with the efforts we are making. It is our hope that we will continue strengthening collaboration with various stakeholders to ensure that farmers gain greater access to these innovations 💪
———————————————————————————————
Siku ya leo tumefanikiwa kutembelewa na Bank Dunia wakiambana na wadau wenginr k**a vile TARI na wengineo kutoka ncho tofauti tofauti kuona ni jinsi gani tunavyoweza kushirikiana na taasisi za utafiti kubiasharisha bunifu zinazobuniwa na taasisi hizo. Imekuwa faraja zaidi kuona jinsi gani World bank walivyovutia na jitihada tunazochukua. Ni matumaini yetu tutazaidi kushiririkiana zaidi na wadau mbalimbali kuhakikisha wakulima wanazidi kufikia wa bunifu hizi💪