ZOLA Tanzania

ZOLA Tanzania Zola delivers the most reliable and durable solar systems and
appliances to our customers' homes and businesses, transforming their lives.

Zola inatoa bidhaa za nishati ya jua za kuaminika na kudumu pamoja na vifaa kwa wateja wetu. Tunawezesha nyumba za wateja wetu na biashara kwa kubadilisha maisha yao.

Tunamkumbuka na kumuenzi Abeid Amani Karume kwa mchango wake mkubwa katika uongozi na maendeleo ya Zanzibar na Tanzania....
07/04/2026

Tunamkumbuka na kumuenzi Abeid Amani Karume kwa mchango wake mkubwa katika uongozi na maendeleo ya Zanzibar na Tanzania.

Tunawatakia siku njema ya kumbukizi ya Abeid Amani Karume.


Heri ya Pasaka! Leo tunasherehekea tumaini jipya, upendo na mwanzo mpya. Tunawatakia siku iliyojaa furaha, amani na bara...
05/04/2026

Heri ya Pasaka!
Leo tunasherehekea tumaini jipya, upendo na mwanzo mpya. Tunawatakia siku iliyojaa furaha, amani na baraka nyingi kwa wewe na familia yako.

Pasaka njema na yenye furaha.

Ijumaa Kuu ni muda wa kutulia, kutafakari na kuthamini sadaka na upendo wa kweli. Tunawatakia wote siku yenye amani, far...
03/04/2026

Ijumaa Kuu ni muda wa kutulia, kutafakari na kuthamini sadaka na upendo wa kweli.
Tunawatakia wote siku yenye amani, faraja na baraka tele.

Usikae gizani tena!Kwa kutumia FLEX MAX LIGHT, ZOLA inakuletea mwanga wa uhakika nyumbani kwako.Pata taa kali, chaji vif...
25/03/2026

Usikae gizani tena!
Kwa kutumia FLEX MAX LIGHT, ZOLA inakuletea mwanga wa uhakika nyumbani kwako.

Pata taa kali, chaji vifaa vyako na endelea na maisha bila kukatishwa ⚡
Ni suluhisho bora kwa kila siku rahisi, nafuu na ya kuaminika!

Wasiliana nasi leo uanze kutumia ZOLA FLEX MAX LIGHT leo


Tunakutakia Eid Mubarak wewe na wapendwa wako🌙✨
21/03/2026

Tunakutakia Eid Mubarak wewe na wapendwa wako🌙✨

Usawa wa nishati unaanza pale ambapo kila jamii inapata fursa sawa ya maendeleo. 🌍⚡Kupitia teknolojia bunifu za ZOLA Ele...
16/03/2026

Usawa wa nishati unaanza pale ambapo kila jamii inapata fursa sawa ya maendeleo. 🌍⚡
Kupitia teknolojia bunifu za ZOLA Electric, tunawafikia watu hata katika maeneo ya mbali na kuhakikisha kuwa nyumba, biashara na jamii zinapata umeme wa uhakika na endelevu.

Ndoto ya maendeleo inaanza na nishati.
ZOLA inaleta mwanga, nguvu na fursa kwa kila mtu.💡


10/03/2026

Chaguo ni lako! ⚡

Iwe unahitaji umeme wa kuaminika kwa familia yako au suluhisho kubwa kwa biashara yako, ZOLA inakupa chaguo linalokufaa. Kuanzia FLEX Series kwa matumizi ya nyumbani, FLEX MAX kwa nguvu zaidi kwa familia na biashara ndogo, hadi ZOLA EDGE kwa mahitaji makubwa ya kibiashara na viwandani.

Chagua suluhisho linaloendana na maisha yako,sisi tunahakikisha unapata umeme wa uhakika, muda wote. 💡



Leo tunaadhimisha nguvu, ubunifu na mchango mkubwa wa wanawake katika jamii na kwenye maendeleo ya teknolojia. 💙ZOLA, tu...
08/03/2026

Leo tunaadhimisha nguvu, ubunifu na mchango mkubwa wa wanawake katika jamii na kwenye maendeleo ya teknolojia. 💙

ZOLA, tunaamini kuwa wanawake ni sehemu muhimu ya kuleta mabadiliko chanya kuanzia uhandisi, huduma kwa wateja hadi uongozi. Kupitia juhudi na vipaji vyao, tunaendelea kupeleka nishati safi na ya uhakika kwa maelfu ya familia na biashara. ⚡

Tunawaenzi wanawake wote wanaoongoza, wanaobuni na wanaochochea maendeleo kila siku.

Heri ya Siku ya Wanawake Duniani! 🌍💙



Februari ulikuwa mwezi wa kasi, mafanikio na ushirikiano wa kweli! ⚡Kuanzia ujio wa uongozi wa ZOLA Intelligence Tanzani...
04/03/2026

Februari ulikuwa mwezi wa kasi, mafanikio na ushirikiano wa kweli! ⚡

Kuanzia ujio wa uongozi wa ZOLA Intelligence Tanzania kuimarisha teknolojia ya Akili Mnemba (AI), hadi kasi ya usambazaji wa ZOLA EDGE kufikia mamia ya wateja tumethibitisha kuwa nguvu yetu ni umoja wetu, pamoja!

Tunaendelea kuwasha ndoto, kuboresha maisha na kusogeza mbele mapinduzi ya nishati safi Tanzania.




ZOLA, tunaleta zaidi ya umeme tunaleta furaha ya familia kukaa pamoja, watoto kusoma kwa mwanga wa uhakika, na burudani ...
02/03/2026

ZOLA, tunaleta zaidi ya umeme tunaleta furaha ya familia kukaa pamoja, watoto kusoma kwa mwanga wa uhakika, na burudani bila wasiwasi wa kukatika kwa umeme. ⚡🏡

Kutoka mshumaa hadi mwanga wa kudumu.
Kutoka ukomo hadi fursa zisizo na mipaka.

Hii sio tu nishati.
Haya ni mabadiliko ya maisha.



27/02/2026

Historia imeandikwa Irkeepus! ⚡🌍

Kupitia mfumo wa ZOLA EDGE kutoka ZOLA Electric, zahanati ya Irkeepus katika wilaya ya Ngorongoro ndani ya eneo la hifadhi la Ngorongoro imepata umeme wa uhakika kwa mara ya kwanza baada ya zaidi ya miaka 20!

Mradi huu umefanikishwa kwa ushirikiano na Lemara Camps ambao wamefadhili kupitia mpango wao wa Grumeti Fund k**a sehemu ya uwajibikaji wao kwa jamii (CSR).

Kwa kuwa hakuna gridi ya taifa inayofika ndani ya eneo hili la hifadhi, sasa huduma za afya zinaendeshwa kwa mwanga thabiti na nishati ya kuaminika kuokoa maisha, kuboresha huduma, na kurejesha matumaini kwa jamii.

Huu siyo tu mradi wa sola… ni uwekezaji katika afya, heshima na mustakabali wa jamii. 🌞💡

---
History has been made in Irkeepus! ⚡

Through the installation of the ZOLA EDGE system by ZOLA Electric, Irkeepus Dispensary in Ngorongoro District located within the Ngorongoro Conservation Area now has reliable electricity for the first time in over 20 years.

This milestone was achieved in collaboration with Lemara Camps, who funded the project under their Grumeti Fund initiative as part of their Corporate Social Responsibility (CSR) commitment.

With no national grid reaching the conservation area, this solar solution is now powering healthcare services with stable, clean energy improving medical care, saving lives, and restoring hope to the community.

This is more than a solar installation… it’s partnership, impact, and lasting change. 🌞💡



Address

Sekei
Arusha
00255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ZOLA Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ZOLA Tanzania:

Share