Hub Afrika

Hub Afrika Hub Afrika is a Tanzanian owned Company that provides, energy and security products and
Hub Afrika

Karibu
05/05/2026

Karibu

ILA METHALI NA WAHENGA🤣🤣🤣🤣Methali : Usitukane wakunga na uzazi ungalipoSisi : Usioge maji ya baridi na jua lingalipo hap...
29/04/2026

ILA METHALI NA WAHENGA🤣🤣🤣🤣
Methali : Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Sisi : Usioge maji ya baridi na jua lingalipo
hapa droo
Unaogaje aji ya baridi kisa tu umeme umekatika?
Jitunzie umeme wa ziada kwa kufunga solar panel nyumbani kwako au katika nyumba yako ya wageni wasioge maji ya baridi na jua lingalipo.

Dondosha methali yako kwenye comment tuone Genz wabunifu

Je una shamba na unahitaji mashine ya kusukuma maji na kuwagilia kwa uhakika?achana Na mafuta , Tumia solar water pump n...
28/04/2026

Je una shamba na unahitaji mashine ya kusukuma maji na kuwagilia kwa uhakika?
achana Na mafuta , Tumia solar water pump ni imara na nafuu kwa matumizi ya shamba lako.
Ungepende kufahamu zaidi? Tupigigie kwa simu 0755203073 au tembelea ofisi zetu zilizopo mnara wa mwenge Arusha

Umekuwa ukipambana na hofu ya kukatika kwa umeme mara kwa mara? Habari njema ni kuwa hiyo hofu hautakuwa nayo tena k**a ...
27/04/2026

Umekuwa ukipambana na hofu ya kukatika kwa umeme mara kwa mara? Habari njema ni kuwa hiyo hofu hautakuwa nayo tena k**a ukiamua kuweka umeme wa solar kutoka hub afrika.
Ni wauzaji wa vifaa vya solar na wafungaji wa mifumo thbiti ya umeme wa solar majumbani kwa experience ya miaka zaidi ya 10 .
Tupigie simu leo kupata free quote yako bure
au fika dukani kwetu mnara wa mwenge Arusha.

Pata battery za kuaminika kutoka kwa muuzaji na msambazaji hub afrika. Battery zetu ni za kuaminika na zenye viwango vya...
27/04/2026

Pata battery za kuaminika kutoka kwa muuzaji na msambazaji hub afrika. Battery zetu ni za kuaminika na zenye viwango vya kimataifa .
Nunua kwetu ufurajie ubora wa Lithium batteries
Ubora upo kwetu

Tunakutakia kheri ya muungano wa Tanzania , na Tunaendelea kukuhamasisha kuendelea kuunganishwa na umeme usiokatika nyum...
26/04/2026

Tunakutakia kheri ya muungano wa Tanzania , na Tunaendelea kukuhamasisha kuendelea kuunganishwa na umeme usiokatika nyumbani kwako.
Kwa mahitaji ya umeme wa solar na Matengenezo ya umeme wa solar na mifumo karibu hubafrika

Kununua kila kitu sehemu moja ndio mpango mzima ,  tunakupa kila kituWasiliana Nasi SASA kwa mahitaji ya solar
20/04/2026

Kununua kila kitu sehemu moja ndio mpango mzima , tunakupa kila kitu
Wasiliana Nasi SASA kwa mahitaji ya solar

Je unatafuta solar zenye Nguvu zaidi zinazofanya kazi hata kwenye uhafifu WA Jua? Na je unahitaji vifaa Bora vya umeme W...
20/04/2026

Je unatafuta solar zenye Nguvu zaidi zinazofanya kazi hata kwenye uhafifu WA Jua? Na je unahitaji vifaa Bora vya umeme WA solar vyenye uimara?
Karibu hayo yote utayapata

A place where you can get all of your solar Needs From tools to installations. Call us today
15/04/2026

A place where you can get all of your solar Needs
From tools to installations.
Call us today

Mahitaji yako yote ya umeme wa solar mali@hub_afrika wauzaji na wafungaji wa vifaa vyote vya umeme wa solar pamoja na ku...
08/04/2026

Mahitaji yako yote ya umeme wa solar mali@hub_afrika wauzaji na wafungaji wa vifaa vyote vya umeme wa solar pamoja na kufunga mifumo ya umeme wa solar ulio imara na madhubuti.
hakuna tena kutangatanga kutafuta hiki huku na kingine kule vyote viko hapa , kuanzia kwenye vifaa k**a vile inventor , sola zenye ubora na mafundi wote utawapata hub afrika
karibu sana
#

Karibu mwezi April, karibu Hub afrika Bado tunaendelea kutoa huduma iliyo bora ya kufunga mifumo ya umeme wa solar nyumb...
01/04/2026

Karibu mwezi April, karibu Hub afrika
Bado tunaendelea kutoa huduma iliyo bora ya kufunga mifumo ya umeme wa solar nyumbani , ofisni pamoja na katika miradi mbalimbali k**a vile ya umwagiliaji mashambani.
Uzoefu wetu katika huduma kwa zaidi ya miaka 10 unatupa ujasiri wa kukwambia unaweza kutuamini kwa mfumowowote unaohitaji.

Hub afrika Suluhisho Bora wakati wote

Address

Pangani Arusha
Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hub Afrika posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hub Afrika:

Share