30/07/2026
Leo tunaendelea na hatua ya mwisho ya uvutaji wa waya kwenye garden ya mteja wetu. πΏπ‘
Kwenye eneo la walkway tumeweka taa za kisasa pembeni ya slabs ili usiku zitoe mwonekano wa kifahari, salama, na wa kuvutia. Kila hatua unayopiga ndani ya nyumba yako inapaswa kuonyesha thamani na hadhi ya uwekezaji wako.
Bruno Umeme tunazingatia ubora, usafi wa kazi, na teknolojia ya kisasa katika kila mradi tunaofanya.
π 0692043714