Amini car air condition A/C za magari

Amini car air condition A/C za magari Fundi wa A/C za magari

πŸš— Toyota Harrier A/C Problem - Solved! ❄️Mteja wetu alikua na shida ya A/C kuvujisha gas kila mara alipojaza, gesi iliku...
15/06/2025

πŸš— Toyota Harrier A/C Problem - Solved! ❄️
Mteja wetu alikua na shida ya A/C kuvujisha gas kila mara alipojaza, gesi ilikuwa inaisha haraka sana.
πŸ” Baada ya uchunguzi, tukagundua tatizo lilikuwa kwenye A/C evaporator ambayo ilikuwa inavuja.
βœ… Tumeibadilisha na kuweka evaporator mpya kabisa na sasa A/C inafanya kazi vizuri, baridi safi na ya uhakika!

πŸ‘‰ Tunashughulikia matatizo ya A/C kwa magari yote kwa weledi na kwa haraka!

πŸ“ž Piga simu: 0692 794 930
πŸ“± WhatsApp: 0750 387 677
πŸ“ Location: Kinondoni, Grave Yard

πŸš— Gari: VW TouaregπŸ”§ Tatizo:Mteja alituletea gari lake likiwa na shida ya A/C blower fan kutoa kelele kubwa sana. Kelele ...
14/06/2025

πŸš— Gari: VW Touareg
πŸ”§ Tatizo:
Mteja alituletea gari lake likiwa na shida ya A/C blower fan kutoa kelele kubwa sana. Kelele hiyo ilikuwa kero kubwa hasa wakati wa kutumia A/C.

πŸ› οΈ Ufumbuzi:
Tulifanya ukaguzi wa kitaalamu na kugundua kuwa blower fan ilikuwa imeharibika kabisa.
Tulifanya mabadiliko ya blower fan mpya na sasa gari linafanya kazi kimya, A/C inapooza vizuri na mteja ameridhika kabisa! βœ…

πŸ‘¨β€πŸ”§ Huduma ya haraka, ya uhakika na kwa bei nafuu.
Unapokutana na matatizo k**a haya, usisite kunipigia:

πŸ“ž Piga/WhatsApp:
πŸ‘‰ 0692 794 930
πŸ‘‰ 0750 387 677

πŸ“ Location: Kinondoni, Dar es Salaam

❄️ Amini Car A/C - Tunapooza Safari Yako!

Hey it's TOYOTA ALPHARD A/C Solution Changamoto yake kubwa hii gari ilikuwa haikai na gasna ubaridi mdogo ndani ya gari....
03/06/2025

Hey it's TOYOTA ALPHARD A/C Solution
Changamoto yake kubwa hii gari ilikuwa haikai na gas
na ubaridi mdogo ndani ya gari. Baada ya ufuatiliaji tukagundua kuwa,
1:A/C compressor ni mbovu
2:A/C condenser pia mbovu
3:Mfumo wa A/C ni mchafu
Tumesuluhisha kwa
1:kubadili A/C Compressor
2:kubadili A/C condenser na
3:kusafisha mfumo wote katika hali ya usafi.
NB:karibu kwetu kwa huduma bora ya A/C ya gari yako
CONTACT:0692794930
0750387677

Marcedes Benz E_classic A/C solution.Shida yake kubwa hii gari ilikua haitoi A/C kabisa na ilikua ghafla.Baada ya uchung...
29/07/2024

Marcedes Benz E_classic A/C solution.
Shida yake kubwa hii gari ilikua haitoi A/C kabisa na ilikua ghafla.Baada ya uchunguzi tukagundua kuwa
1:A/C compressor ime haribika
2:A/C condenser imetengeneza uchafu mweusi ambao ni hatari kwenye system ya a/c.
Tulimesuluhisha kwa
1:kubadilisha a/c compressor
2:kubadilisha a/c condenser.
NB:kwa mafundi wa uhakika wa gari ya aina yeyote ile njoo kwetu
CONTACT 0750387677

Range rover sport (3.0L) A/C solution.Shida yake kubwa hii gari ilikua haileti ubaridi kabisa Baada ya uchunguzi tukagun...
27/07/2024

Range rover sport (3.0L) A/C solution.
Shida yake kubwa hii gari ilikua haileti ubaridi kabisa
Baada ya uchunguzi tukagundua kuwa>>
1:A/C compressor ni mbovu yani imeharibika
2:imetengeneza uchafu mweusi ambao sio salama katika system ya A/C
3:system ya a/c ina leakage (inavujisha gas)
Tulicho kifanya ni
1:kubadilisha a/c compressor
2Kubadilisha a/c condenser
3:kusafisha mfumo
4:tumebadilisha rubber zote kweny system.

NB:Tunatengeneza gari aina zote karibu kwetu kwa huduma bora
CONTACT:0750387677_0692794930

Hey it's (TOYOTA CARINA OLD MODEL) A/C SERVICE.Shida yake kubwa gari hii ilikua inapoteza upepo yani hata uweke speed ya...
07/07/2024

Hey it's (TOYOTA CARINA OLD MODEL) A/C SERVICE.
Shida yake kubwa gari hii ilikua inapoteza upepo yani hata uweke speed ya feni mpaka mwisho haupati upepo wa kutosha.
Tulicho kifanya ni>>
1:Tumefungua dashboard kuangalia njia za upepo k**a zipo sawa na tukagundua kuwa zina poteza upepo ndan ya dashboard
Tumesuluhisha kwa >>
1:kudhibiti kila njia ambayo ilikua inapoteza upepo.

NB:Kwa mafundi wa uhakika njoo kwetu.
CONTACT:0750387677
:0692794930

Hey it's (LAND CRUISER OLD MODEL) Leakage detection.Mteja wetu alikua anasumbuka sana kujaza gas mara kwa mara akatupa m...
05/07/2024

Hey it's (LAND CRUISER OLD MODEL) Leakage detection.
Mteja wetu alikua anasumbuka sana kujaza gas mara kwa mara akatupa malalamiko yake na tukayafanyia kaz.
Banda ya uchunguzi wa kina tukagundua kuwa.
1:kuna baadhi ya a/c pipe zimeoza.
2:rubber ya a/c compressor inavujisha piano.
Tumetatua kwa kufanya yafuatayo>>
1:tumedhibiti kwa kuzi ziba pipe na aluminum
2:tumebadilisha rubber ya a/c compressor.sasa gar imekaa saw kabs a
NB:kwa mafundi wa uhakika njoo kwetu
CONTACT:0750387677
0692794930

BMW 1SERIES A/C service.NB:Karibu kwetu kwa huduma boraCONTACT:0692794930                0750387677
30/06/2024

BMW 1SERIES A/C service.
NB:Karibu kwetu kwa huduma bora
CONTACT:0692794930
0750387677

RAV4 MISS TZ A/C serviceNB:kwa huduma bora kabisa karib kwetuCONTACT:0750387677         0692794930
30/06/2024

RAV4 MISS TZ A/C service
NB:kwa huduma bora kabisa karib kwetu
CONTACT:0750387677
0692794930

Hey it's (Toyota Premio) A/C solution.Gari hii shida yake kubwa ilikuwa haikai na gas Baada ya uchunguzi kwa kina tukagu...
19/06/2024

Hey it's (Toyota Premio) A/C solution.
Gari hii shida yake kubwa ilikuwa haikai na gas
Baada ya uchunguzi kwa kina tukagundua kuwa A/C evaporator ndo inayo vujisha gas.
Tumebadilisha na Sasa gari imekaa sawa.
NB:Kwa mafundi wa uhakika njoo kwetu wew
Contact:0750387677
0692794930

Address

1477110
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amini car air condition A/C za magari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Amini car air condition A/C za magari:

Share