ally_decorationss

ally_decorationss Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ally_decorationss, Construction Company, Mabibo, Dar es Salaam.

🎨 Premium Painting & Decor Finishing
🏠 Interior • Exterior • Ceiling • Cabinets
✔ Clean finishing | ✔ Quality materials | ✔ On time
📍 Dar es Salaam
📞 0744 856 204

25/05/2026

Mteja alisema: “Nataka duka la kisasa lenye kuvuta macho…”
Sisi tukasema: “Tuachie sisi kazi” 🔥

Matokeo ndio haya 👌
✔️ Smooth Skimming
✔️ Premium Painting
✔️ Modern Ceiling & Lights
✔️ SPC Floor ya kisasa

Quality yetu haisimuliwi… inaonekana ✨








23/05/2026

🏢✨ Tunabadilisha duka lako kuwa la kisasa na lenye mvuto wa kipekee!
🔨 Tunafanya:
✔ Gypsum Installation
✔ Light Decoration
✔ Skimming
✔ Painting/Rangi
Kazi safi, finishing ya kisasa na ubora unaoonekana kwa macho 💯🔥
Karibu tufanye biashara yako ionekane tofauti na ya kuvutia zaidi.
📞 Wasiliana nasi leo kwa huduma za uhakika











22/05/2026

🏢✨ DUKA LAKO LIPE MUONEKANO WA KISASA KWA GYPSUM DESIGN ✨🏢
Tunafanya Gypsum Installation za maduka, office na biashara kwa muonekano wa kuvutia wateja na kuongeza hadhi ya sehemu yako 🔥
✔ Ceiling za kisasa
✔ LED lights design
✔ Finishing safi na nadhifu
✔ Muonekano wa kifahari kwa biashara yako
Biashara nzuri inaanza na mazingira mazuri 💯
Tupo tayari kubadilisha duka lako liwe la tofauti kabisa.
📞 Wasiliana nasi leo kwa kazi za uhakika.

20/05/2026

New site
⚡ ELECTRICITY
✨ GYPSUM INSTALLATION
🎨 PAINTING
Tunafanya maduka yawe na muonekano wa kisasa na kuvutia wateja 🔥
Finishing safi • Ubora wa kazi • Muonekano wa tofauti 💯

🏠🔥Hatupaki rangi tu…Tunabadilisha nyumba kuwa Class ya kifahari ✨😮‍💨✔️ Clean finishing✔️ Modern colors✔️ Quality ya kudu...
19/05/2026

🏠🔥
Hatupaki rangi tu…
Tunabadilisha nyumba kuwa Class ya kifahari ✨😮‍💨
✔️ Clean finishing
✔️ Modern colors
✔️ Quality ya kudumu
✔️ Muonekano wa kuvutia kila angle
Ukiona kazi yetu ujue mteja aliamua kuwekeza kwenye ubora 💯🎨
📞 0744856204

16/05/2026

🎨 Finishing ya kisasa ni heshima ya nyumba 🔥
Tunafanya kazi safi, smooth na yenye muonekano wa kuvutia 💯

✔️ Painting
✔️ Skimming
✔️ Gypsum Design
✔️ Tiles
✔️ Plaster

Bei nzuri • Kazi safi • Tunamaliza kwa wakati ✅

📍 Dar es Salaam
📲 0744856204

24/04/2026

🔥 USIANGALIE TU… HII NDIO STANDARD YA NYUMBA YAKO INAYOFUATA! 🔥

Unataka nyumba yako ionekane hivi?
✨ Finishing safi
✨ Muonekano wa kisasa
✨ Kazi ya uhakika, hakuna kubahatisha

Sisi hatufanyi kawaida… tunatengeneza mwonekano wa kuvutia kila anayeingia 😮‍🔥

📞 Wasiliana nasi sasa: 0744856204
📍 Ally Decorations

⏳ Nafasi chache – tukikupangia tarehe, tunaanza kazi yako mara moja!










21/04/2026

Unataka nyumba yako ionekane class? 🏠✨
✔️ Kazi safi
✔️ Finishing kali
✔️ Bei rafiki
Usichelewe… nafasi zinajaa!
📩 DM: Ally Decoration

19/04/2026

Ukiiona hivi huwezi kuamini ilikuwa vipi kabla 😮‍🔥
Tumebadilisha hii space kutoka kawaida hadi modern luxury ✨
✔️ Lighting ya kisasa
✔️ Finishing safi
✔️ Muonekano wa hadhi

Hii ndiyo standard yetu 💯
Unataka na kwako iwe hivi?
📩 Tuma message sasa tuanze kazi yako mapema

15/04/2026

From rough walls ➡️ smooth finish k**a kioo 🪞✨
Hii ndiyo nguvu ya skimming ya kisasa 💯

Ukuta wako una cracks au hauko clean?
Tuachie sisi tukuletee finishing ya kiwango cha juu 🔥🏠

📞 0744856204
📍 Dar es Salaam

“Kazi yetu ni ubora, si majaribio” 👷‍♂️✨

Address

Mabibo
Dar Es Salaam

Telephone

+255693154473

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ally_decorationss posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share