Dairyland TZ

Dairyland TZ We are an ice cream and chocolate brand with a variety of products that cater for everyone regardles

Umekumbuka kupata snack leo? Sio mbaya ukajispoil kidogo na snack yenye chocolate spread ya Dairyland. !!
02/09/2024

Umekumbuka kupata snack leo? Sio mbaya ukajispoil kidogo na snack yenye chocolate spread ya Dairyland.
!!

Ladha tamu ya Chocolate Spread ya Dairyland inakufanya uwe na siku nzuri zaidi. Unapenda kuila ukiwa wapi, nyumbani au k...
29/08/2024

Ladha tamu ya Chocolate Spread ya Dairyland inakufanya uwe na siku nzuri zaidi. Unapenda kuila ukiwa wapi, nyumbani au kazini?
!!

Ongeza ladha kwenye maziwa yako ya moto au kahawa kwa kuchanganya na Dairyland Chocolate Spread. Utafaidi kila fundo! !!
26/08/2024

Ongeza ladha kwenye maziwa yako ya moto au kahawa kwa kuchanganya na Dairyland Chocolate Spread. Utafaidi kila fundo!
!!

Baada ya uchovu wa siku nzima ukipata kasnack kidogo kabla ya msosi wa jioni sio mbaya. !!
25/08/2024

Baada ya uchovu wa siku nzima ukipata kasnack kidogo kabla ya msosi wa jioni sio mbaya.
!!

Kwenye moments zote bora za kifamilia Dairyland Chocolate Spread ndio husambaza upendo katika kila kipande.  !!
23/08/2024

Kwenye moments zote bora za kifamilia Dairyland Chocolate Spread ndio husambaza upendo katika kila kipande.
!!

Kwanini usijipendelee na vitu vizuri k**a hivi? Chocolate spread lazima ikupe tabasamu siku nzima. !!
21/08/2024

Kwanini usijipendelee na vitu vizuri k**a hivi? Chocolate spread lazima ikupe tabasamu siku nzima.
!!

Hii combo ya matunda na Dairyland Chocolate Spread ni kiboko. !!
19/08/2024

Hii combo ya matunda na Dairyland Chocolate Spread ni kiboko.
!!

Fanya snack time yako kuwa ya kipekee kwa kutumia Dairyland Chocolate Spread k**a dip ya pretzels na crackers. !!
15/08/2024

Fanya snack time yako kuwa ya kipekee kwa kutumia Dairyland Chocolate Spread k**a dip ya pretzels na crackers.
!!

Ladha pekee inayoweza kunogesha breakfast yako ni Dairyland Chocolate Spread. !!
13/08/2024

Ladha pekee inayoweza kunogesha breakfast yako ni Dairyland Chocolate Spread.
!!

Fanya ice cream yako iwe tamu zaidi kwa kutumia Dairyland Chocolate Spread k**a topping. Hutojutia kujaribu hii !!
07/08/2024

Fanya ice cream yako iwe tamu zaidi kwa kutumia Dairyland Chocolate Spread k**a topping. Hutojutia kujaribu hii
!!

Chocolate Spread yetu inapatikana kwenye size mbili tofauti, 275g na 650g. Ni ipi unayoipenda zaidi? !!
05/08/2024

Chocolate Spread yetu inapatikana kwenye size mbili tofauti, 275g na 650g. Ni ipi unayoipenda zaidi?
!!

Screenshot kisha tuambie umepata snack gani ya kuenjoy na Dairyland Chocolate Spread? !!
02/08/2024

Screenshot kisha tuambie umepata snack gani ya kuenjoy na Dairyland Chocolate Spread?
!!

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dairyland TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dairyland TZ:

Share