Bifad Tanzania

Bifad Tanzania All Solar Related Products

03/08/2026

Katibu Nanenane Morogoro

01/08/2026

Karibu Katika Maonyesho Ya kilimo Maarufu K**a NANENANE Mkoani Morogoro, Karibu Ujipatie Bidhaa MbaliMbali Za Solar.

K**a vile Solar Pump, Solar Streetlight, Solar Inverter , solar Battery nk

Tupigie Kwa namba 0713 130144

22/07/2026

💥💥SOLAR POWER BANK🔋🔋🔋

🔋🔋INA UWEZO WA KUCHAJI SIMU MPAKA MBILI KWA WAKATI MMOJA.

🔋🔋INACHAJIWA KWA SOLAR YAKE AU UMEME

🔋🔋INA UWEZO WA 20,000mAh

🔋🔋BEI YAKE NI TSH. 60,000/= TUU

☎️☎️NAMBA ZETU ZA SIMU 0713 130144

🔋TUPO KARIAKOO, MTAA WA AMANI

-----------------------------------------------------------------------



🚌

14/07/2026

BATTERY ZA PIKIPIKI ZA KUCHAJI KWA UMEME

Battery hizi zinatumika kwenye Pikipiki Za kuchaji, Guta Za Kuchaji...

✅Hizi ni Maalumu Kwa Kazi Hiyo....

✅Ni Size 12V 23AH

✅Battery Moja Inauzwa Tsh. 125,000/=

☎️Namba zetu 0713 130144

Tupo Kariakoo,Mtaa Wa Amani





07/07/2026
01/07/2026

TAA YA KUCHAJI NA UMEME INA MWANGA MKALI INAWEZA KUWAKA MASAA SITA KWA MWANGA MKALI NA MASAA 10 KWA MWANGA MDOGO,Na MWANGA mdogo Sana Masaa 12

NI SULUHISHO TOSHA KWA MATATIZO YA KUKATIKA KWA UMEME,INA SUMAKU UNAWEZA UKAIGUNDISHA JUU IKAWA IMEKAA K**A BULB ZA KAWAIDA

PIA UNAWEZA KUITUMIA K**A POWERBANK NA UKACHAJI SIMU YAKO.

✅BEI YAKE NI 35,000 TUU

☎️NAMBA ZETU 0713 130144 TUPO DSM

10/06/2026

DC MCCB - Molded Case Circuit Breaker.

model SAM1-125L/2300.

Kazi yake ni nini?

Kazi kubwa ni kulinda mizigo yako na waya zisiungue au kutokea moto k**a kuna tatizo la umeme

Inafanya kazi 3 kuu au Zaidi

✅1. Kinga ya Overload
K**a unawasha AC 4 + jiko + pasi zote kwa wakati mmoja, umeme utapita zaidi ya 125A. MCCB itajikatisha yenyewe "trip" kabla waya wajakauka.

✅2. Kinga ya Short Circuit
K**a kuna waya + na - zikagusa, itakatika kwa kasi sana ndani ya sekunde 0.01. Hii ndio "Short circuit breaking capacity 25kA/15kA" iliyoandikwa. Inazuia mlipuko na moto.

✅3. K**a Switch/Isolator
Unaweza kuifunga "OFF" wakati wa kufanya matengenezo. Inakata umeme wote unaoingia kwenye mfumo mzima.

Inatumika wapi?

Kwa orodha ya vifaa uliyonipa yenye AC 4, jiko, pump 3hp, hii MCCB inafaa sana kuwekwa:

✅1. K**a breaker kuu ya solar - kati ya paneli + charge controller/inverter

✅2. K**a breaker kuu ya betri - kati ya betri + inverter. 125A inatosha inverter ya 5kW-6kW 48V

Namba Zetu 0713 130144


Feni Ya Kuchaji kwa SOLAR Au Umeme  HAINA Kipengele.📎Inaweza Kukaa Na Chaji Mpaka Masaa 8 k**a umeme ukikatika Ghafla.📎I...
19/05/2026

Feni Ya Kuchaji kwa SOLAR Au Umeme HAINA Kipengele.

📎Inaweza Kukaa Na Chaji Mpaka Masaa 8 k**a umeme ukikatika Ghafla.

📎Ina Battery Yenye Kutunza Chaji Kwa Muda Mrefu.

📎Ina Sehemu Ya kuongeza na Kupunguza Speed.

📎Ina Remote Yake,kwaajili ya Kuwasha,kuzima au Kufanya chochote Utakacho.

⚙️Ina upepo mkali Sana.

📌Bei Yake Ni Shilingi 165,000 tuu (offer)

📌Namba Zetu 0713 130144

📌Tupo Mtaa Wa Amani/Livingstone ,Kariakoo

mikoani_tunatuma🚌_nchi_jirani mydaressalaam daressalaam🇹🇿 jotokalilaasubuhi fenmikoani_tunatuma🚌 kaributukuhudumie dodoma tanga mwanza morogoro kibaha

24/03/2026

UMEME WA UHAKIKA NYUMBANI NA BIASHARA!

Je UmeChoka na kukatika kwa umeme? Sasa tuna suluhisho la uhakika kwa kutumia Techfine Solar Inverter zenye ubora wa hali ya juu.
Zinapatikana kwa uwezo mbalimbali kulingana na matumizi yako 👇

✅ 1500 Watts
✅ 3200 Watts
✅ 6200 Watts
✅ 10,000 Watts

✔️ Inafaa kwa nyumba na biashara
✔️ Ufanisi mkubwa wa matumizi ya solar
✔️ Ulinzi dhidi ya overload & short circuit
✔️ Inafanya kazi na betri za lithium au gel
✔️ Umeme wa uhakika hata kukiwa na grid kukatika




🚌

Address

Amani/Livingstone Street
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bifad Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share