Nyumbani Reliable Enterprises

Nyumbani Reliable Enterprises Welcome we are ready to serve you.

For modern housing construction, renting, selling or buying, electricity installation, designing and renovations to modern Houses, Nyunbani Reliable Enterprises is the solution.

WhatsApp number 0688069090
06/03/2022

WhatsApp number 0688069090

Tupo wazi muda wote kukuhudumia karibu mteja wetu. Unaweza kutufikia kwa kuwasili ofisini kwetu, au kwa mawasiliano ya s...
24/11/2020

Tupo wazi muda wote kukuhudumia karibu mteja wetu. Unaweza kutufikia kwa kuwasili ofisini kwetu, au kwa mawasiliano ya simu +255713069090/ +255688069090 au WhatsApp namba +255688069090. Karibuni

19/10/2020

Anahitajika dogo k**a mhusika wa kukaa ofisini. Ofisi ni ya fundi welding (kuchomea) ipo kibaha Kongowe mwambisi, dogo huyu awe na timamu wa akili na mwili na mwenye utayari wa kufanya kazi katika mazingira yenye changamoto.
Kazi zake zitakua ni k**a ifuatavyo:-
Kufungua na kufunga ofisi kila siku asubuh saa mbili kamili na kufunga saa kumi na mbili na nusu.
Kuratibu shughuli za ofisi ikiwemo kutunza Mali za ofisi wakati wa kazi na kuhifadhi mara baada ya kufanyia kazi.
Kusaidiana na fundi kazi na majukumu yote ya ufundi pindi akiwa kazini.
Kupokea wageni/wateja na kuwaelekeza kwa fundi mkuu kwa mazungumzo zaidi yanayohusu kazi ofisini.
Kuonesha ushirikiano kwa ofisi na wadau wa nje ya ofisi katika kuboresha mahusiano mazuri ya ofisi na wadau.

Tunahudumia hadi siku za weekend tupo wazi mchana wote karibu kuuliza, kununua, na kuweka oda zako leo.
17/10/2020

Tunahudumia hadi siku za weekend tupo wazi mchana wote karibu kuuliza, kununua, na kuweka oda zako leo.

04/10/2020
Tupigie tukuhudumie +255713069090 au WhatsApp +255688069090
03/10/2020

Tupigie tukuhudumie +255713069090 au WhatsApp +255688069090

Ukipenda unapolala usingizi utakupenda.
21/09/2020

Ukipenda unapolala usingizi utakupenda.

Piga simu sasa tukuhudumie
29/10/2019

Piga simu sasa tukuhudumie

+255713069090+255688069090
29/10/2019

+255713069090
+255688069090

Karibu.Na wewe pia unaruhusiwa kudesign kwa stile yako na mafundi wetu wanakutengenezea. Muda wowote na tunakufikia popo...
27/09/2019

Karibu.
Na wewe pia unaruhusiwa kudesign kwa stile yako na mafundi wetu wanakutengenezea. Muda wowote na tunakufikia popote kwa gharama nafuu tupigie simu au tuchek whatsapp +255713069090 au +255688069090 au tufuate instagram:

Address

Africana Road
Dar Es Salaam
14130

Telephone

+255688069090

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyumbani Reliable Enterprises posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nyumbani Reliable Enterprises:

Share