11/05/2026
๐งโฝ Kwa nini tunasisitiza kutumia plugs original kwenye magari ya CNG? ๐น๐ฟ๐
Kwetu CNG Link Tanzania, tumekuwa tukijitahidi kuwapatia wateja wetu spark plugs original na zenye ubora halisi ili gari lipate performance bora baada ya kufunga gas asilia (CNG). โ
Tatizo kubwa lililopo Tanzania ni kwamba soko limejaa plugs nyingi fake au za ubora wa chini ambazo kwa macho zinaweza kufanana kabisa na original. ๐
Watu wengi hununua bila kujua tofauti โ mwisho wake gari linaanza kupata matatizo baada ya muda mfupi.
โ ๏ธ Plugs fake zinaweza kusababisha:
Engine kutetemeka (misfire)
Gari kukosa nguvu
Matumizi makubwa ya gas/fuel
Pickup kuwa mbaya
Engine kuwaka check light
Kuungua haraka kuliko kawaida
CNG system kutofanya kazi kwa ufanisi
๐ Kwenye magari ya CNG, spark plugs zina umuhimu mkubwa zaidi kuliko kwenye fuel ya kawaida, kwa sababu gas inahitaji ignition yenye nguvu na stable ili iweze kuwaka vizuri. Ndiyo maana kutumia plug sahihi na original ni muhimu sana. ๐ฅ
๐ก Pia ni muhimu watu wafahamu kuwa hakuna kitu kinachoitwa โspark plugs za gasโ.
Kila gari lina spark plugs zake maalum zilizopangwa na manufacturer wa engine husika. โ
Hivyo kinachotakiwa si kutafuta โplug ya gasโ, bali kutumia:
โ๏ธ Plug original
โ๏ธ Specification sahihi ya engine yako
โ๏ธ Ubora unaokubalika na manufacturer
Mara nyingi watu huona CNG haisukumi vizuri au gari limebadilika performance, kumbe tatizo si mfumo wa gas โ tatizo ni plugs fake, plugs zisizo sahihi, au quality duni. โ ๏ธ
๐ฏ Ndiyo maana sisi tunaweka mkazo kwenye:
โ
Original spark plugs
โ
Specification sahihi ya engine
โ
Quality inayodumu
โ
Performance bora ya CNG na fuel
๐ค Lengo letu si kufunga gas tu, bali kuhakikisha gari yako inafanya kazi kwa ubora, nguvu, na uchumi unaotakiwa. โฝ๐