Dalock Security System

Dalock Security System Dalock Security System offers innovative, but more importantly effective and user friendly security solutions.

TUNAJIHUSISHA NA UFUNGAJI NA MAREKEBISHO YA:-
●CCTV CAMERA
●ELECTRIC FENCE
●MOTOR GATE
●TV NETWORKING SYSTEM
●GPS TRACKER
●INTRUDER ALARM SYSTEM
●ACCESS CONTROL
●ALARM SYSTEMS
●HOTEL MANAGEMENT SYSTEM
●VIDEO DOOR BELL
●SOLAR INVERTER SYSTEM We integrate access management, intrusion detection, video surveillance, video analysis, fire detection and other security systems. Dalock Security System is a thought leader with a strong focus on delivering results for the client.

27/04/2026

SISI K**A &

TUNASEMA ASANTE KWA WATEJA WOTE TULIOFANYA NAO KAZI KATIKA HUU MWAKA WA 2024.

TUNASEMA ASANTE SANA KWA IMANI YENU KWETU.

MNAWEZA KUENDELEA KUWASILIANA NASI KWA KAZI NZURI NA ZENYE UBORA.

LIPIA HUDUMA BAADA YA KUPATA HUDUMA KUTOKA KWETU.

ASANTE.

22/04/2026

Kazi nzuri siku zote uleta kazi nyingine.Asante kwa wote wanaozidi kutuamini.

NJOO TUKUHUDUMIE

02/04/2026
01/04/2026

INVERTER SYSTEM

UMEME WA UHAKIKA UKIWA POPOTE PALE

KAZI ZETU TUNAZIFANYA KATIKA MAENEO K**A:-
🔴Viwandani
🔴Hospitali
🔴Vyuoni na Mashuleni
🔴Majumbani
🔴Maofisini
🔴Viwanja vya Maonyesho
🔴Hotelini
🔴Sehemu za starehe
🔴Maduka Makubwa na Madogo
🔴Construction sites (Areas)
🔴Sehemu za kuhifadhi vitu(Godown)
N.k

MATAWI YETU KWA SASA YANAPATIKANA:-
■Dodoma
■Dar es Salaam
■Tabora
■Arusha
■Kigoma

PIA TUNAFANYA REPAIR (MAINTENANCE) ZA VIFAA VYOTE VYA ULINZI.

TUNAPATIKANA KATIKA OFISI ZETU ZA WILAYA YA KINONDONI MAENEO YA SALA SALA KATA YA WAZO.

Wasiliana na sisi kupitia namba zifuatazo:-
☎️255752 113 222
☎️255764 333 385

📧[email protected]


12/03/2026

Kila siku tunasema asante kwa wateja wetu wote wanao amini katika kazi zetu.



Tupigie:- +255752 113 222

27/01/2026

Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai & ni Mabingwa kabisa wa hizi kazi.

Njoo Tukuhudumie

Njoo Upate ofa za kibabe

Njoo Upate huduma kisha ulipe baada ya kazi

Njoo Ujipatie kile roho inapenda

TUPIGIE

☎️+255752 113 222/764 333 385
📧[email protected]




31/12/2025

UONGOZI WA unapenda kuwatakia heri ya X-Mass na Mwaka Mpya.

Tunawashukuru sana wateja wetu wote mliotuamini 2025 ,tunawaomba sana kwa moyo huo huo mzidi tena kutuamini Katika Mwaka 2026.

Mbarikiwe sana

17/12/2025

NJOO TUKUHUDUMIE





05/12/2025

LEO KATIKA OFISI ZETU ZA TULIWEZA KUTEMBELEWA NA Mr THOMAS KWA AJILI YA TRAINING FUPI KUHUSU PRODUCT MBALI MBALI ZA

ILIKUWA NI SIKU NZURI SANA KWA WATU WETU WA MARKETING KUPATA MUDA WA KUJIFUNZA NA KUELEWA MAMBO MBALI MBALI.





29/11/2025

KARIBU TUWAHUDUMIE

MINI PT SILAR CAMERAS





Address

SALA SALA Road
Dar Es Salaam
0000

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 15:00

Website

https://tiktok.com/@dalocksecurity, https://www.instagram.com/dalock_

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dalock Security System posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dalock Security System:

Share