Madirisha WCS

Madirisha WCS Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Madirisha WCS, Commercial & Industrial, Tegeta, Dar es Salaam.

Madirisha Women Cooperative Society (MWCS) ni chama cha ushirika wa wanawake kilichosajiliwa chini ya TCDC kwa dhumuni la kusaidia vikundi na watu kwa umoja wao kutengeneza uchumi wao kwa njia ya ushirika kulingana na muundo thabiti ulioasisiwa.

Happy Easter Tunaadhimisha upendo, tumaini na mwanzo mpya Msimu huu uwe chanzo cha baraka, amani na mafanikio mapya kati...
05/04/2026

Happy Easter
Tunaadhimisha upendo, tumaini na mwanzo mpya
Msimu huu uwe chanzo cha baraka, amani na mafanikio mapya katika maisha yako na biashara zako.
Madirisha SACCOS tupo pamoja nawe kila hatua ya safari yako ya kifedha

05/04/2026

Sehemu pekee ya kuaminika kupata mkopo wenye riba nafuu? Ni MADIRISHA SACCOS.
Hapa unapata:
✔️ Mikopo yenye riba rafiki
✔️ Muda mzuri wa kulipa bila stress
✔️ Mfumo unaokujali wewe na biashara yako

03/04/2026

Start your morning with purpose & opportunitiesMADIRISHA BREAKFAST MEETING 2026 ni nafasi ya kukutana, kujifunza na kufu...
01/04/2026

Start your morning with purpose & opportunities

MADIRISHA BREAKFAST MEETING 2026 ni nafasi ya kukutana, kujifunza na kufungua milango ya kifedha

Jumamosi, 11 April 2026
Dar es Salaam
Good food + Great minds = Real growth
Usikose hii breakfast yenye value kubwa kwenye maisha yako ya kifedha

01/04/2026

MADIRISHA BREAKFAST MEETING 2026
Unatafuta mkopo wenye riba nafuu na masharti rafiki? Hii ndio nafasi yako!
Ukihudhuria utajifunza:
✔️ Jinsi ya kupata mkopo kwa riba ndogo
✔️ Mfumo wa ulipaji wenye muda mzuri bila pressure
✔️ Fursa za kifedha kupitia SACCOS
✔️ Ku-connect na wadau wa fedha na biashara
Jumamosi, 11 April 2026
Asubuhi (Breakfast Session)
Sea Shells Hotel – Dar es Salaam
Member: 35,000/-
Non-Member: 50,000/-
Unapata: Chai ya asubuhi, T-shirt (wanaume), Kitenge (wanawake)
Usikose kujiongezea maarifa + fursa za kifedha. Jiandikishe sasa!

Pamoja tunajenga uchumi endelevu11 April 2026 Sea Shells Hotel – Dar es SalaamMember: 35,000/-Non-Member: 50,000/-Unapat...
31/03/2026

Pamoja tunajenga uchumi endelevu
11 April 2026 Sea Shells Hotel – Dar es Salaam
Member: 35,000/-
Non-Member: 50,000/-
Unapata: Breakfast ☕, T-shirt 👕 (wanaume), Kitenge 👗 (wanawake)
Secure your spot sasa — nafasi ni chache!

Address

Tegeta
Dar Es Salaam
00000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Madirisha WCS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share