23/03/2026
JINSI YA kutengeneza AI YAKO MWENYEWE… BURE KABISA!
Na watu wengi bado hawajui hii…
Katika zama hizi za teknolojia…
Hata k**a una PhD 100…
Usipojua kutumia AI vizuri…
Utakuwa k**a darasa la saba tu.
Unajua ni kwanini?
Kila siku AI inazidi kuwa na nguvu
Na nafasi ya kuchukua kazi zako ni kubwa sana
Njia ya ku-survive ni moja tu:
Jifunze kuitumia.
Sasa sikiliza hii vizuri…
Google wanakupa uwezo wa kutengeneza AI yako mwenyewe
Assistant wako binafsi ambayo…
• Inajibu emails zako
• Inafanya research
• Inakuandikia contents
• Ina-manage biashara yako
Na yote hii… NI WEWE NDO UNAI-CONTROL
Fanya hivi:
Hatua ya 1:
Fungua gemini.google.com
Bofya Gem Manager → New Gem
Hatua ya 2:
Ipe jina + maelekezo (instructions)
Iambie EXACTLY unachotaka ifanye
Pro Tip:
Tumia “Magic Pencil” ikuboreshee maelezo yako
Hatua ya 3:
Ipe “UBONGO”
Pakia PDFs, data za biashara, research
Hicho ndicho kinachoipa Ai yako akili na kuwa tofauti na nyingine.
Ukimaliza, save. Na hapo …
• Unakuwa na AI yako binafsi
• Bot inayokufanyia kazi
• Na unaweza hata kuiuza
BURE KABISA
K**a unataka kujifunza full system…
Na kutengeneza bots
Uongeze mauzo ya biashara yako…
Comment neno CHANNEL,nikuunge kwenye channel yangu sasahivi.
Acha kutumia AI za watu wengine…
Tengeneza YAKWAKO
Rafiki yako,
Victor.