13/12/2022
Kwenye maisha ujanja ni kuwa na Plan A na Plan B.
Vivyo hivyo kujitosheleza kwenye mahitaji ya nishati nyumbani au ofisini, Plan A ni Tanesco Plan B ni_____?
Usipokuwa na Plan B kwenye nishati, Tanesco watakufanya wanavyotaka, utaishia tu kulaumu na kutukana.
Ni muda sasa wa kufikiria Plan B ili shughuli zako zisikwame.