KAMU Technologies

KAMU Technologies Kamu Technologies deals with consultation, supplying, installation and services of CCTV CAMERAS,ALARM SYSTEM, GATE MOTORS,ELECTRIC FENCE, LED SIGNAGE.

Also providing services on technological issues. ie: SOFTWARE DEVELOPING and other related services

11/12/2025

The electric fence installation is in progress.…………

27/11/2025

GATE MOTOR MPYA YA HIKVISION IPO SASA!

Fungua lango lako kwa teknolojia ya kisasa na usalama wa hali ya juu!
Motor mpya za HIKVISION zimewasili zikiwa na ubora, nguvu, na ubunifu wa kisasa kwa matumizi ya kibiashara na nyumbani.

SIFA ZA GATE MOTOR YA HIKVISION

✅ Smart Control:
Ina uwezo wa kuunganishwa kupitia Wi-Fi au LAN, hivyo unaweza kufungua au kufunga lango lako kwa mbali kupitia simu.

✅ Backup Battery:
Ina betri ya ndani inayowezesha motor kuendelea kufanya kazi hata umeme ukikatika.

✅ High-Speed Operation:
Hufungua lango kwa kasi ya hadi 36 m/min, ikikupa ufanisi na urahisi wa matumizi.

✅ Soft Start & Stop System:
Mfumo wa kuanza na kusimama kwa upole ili kulinda lango lisichakazike haraka.

✅ Auto-Reverse Protection:
Motor hubadilisha mwelekeo kiotomatiki inapokutana na kizuizi kuongeza usalama kwa watu na magari.

✅ Access Control Options:
Inaweza kufunguliwa kwa PIN, kadi, au QR code kulingana na modeli unayochagua.

✅ Pedestrian Mode:
Huruhusu lango kufunguka sehemu ndogo kwa ajili ya wapita-kwa-miguu bila kulifungua lote.

✅ Easy Configuration:
Inawezesha usakinishaji na usanidi rahisi kupitia mobile web configuration au AP mode.

✅ Weather-Resistant (IPX5 Rated):
Imeundwa kustahimili mvua na vumbi, bora kwa matumizi ya nje (outdoor).

✅ Low-Power Mode:
Hupunguza matumizi ya umeme baada ya kazi kukamilika kwa ufanisi zaidi.

📍 MAHALI TULIPO

Makumbusho, karibu na Grandvilla Hotel

📞 Wasiliana Nasi: 0759 121 640

21/11/2025

LINDA BIASHARA YAKO, LALA UKIJUA KILA KITU KIPO SALAMA!

Katika ulimwengu wa leo, usalama ni sehemu muhimu ya kuikuza na kuilinda biashara yako.
Kuwa na CCTV kunakupa:
✔️ Uhakika wa usalama masaa 24
✔️ Ufuatiliaji wa tukio lolote hata ukiwa mbali
✔️ Kuzuia wizi na uharibifu
✔️ Kuongeza nidhamu kwa wafanyakazi na wateja
✔️ Kuokoa muda na kupunguza hasara zisizotarajiwa

Tunakupatia CCTV za ubora wa juu, usakinishaji wa kitaalamu na huduma za baada ya mauzo.

📍 Makumbusho – Karibu na Grandvilla Hotel
📞 Wasiliana nasi: 0759 121 640



18/11/2025

⚡️ SMART ELECTRIC FENCE – ULINZI MAKINI, ULIOUNGANISHWA NA TEKNOLOJIA!

Usalama wa nyumba, ofisi au biashara yako haupaswi kubahatisha!
Kwa kutumia Smart Electric Fence, unapata:
✅ Ulinzi wa 24/7
✅ Control kupitia simu yako (washa/zima, voltage control)
✅ Notification ya haraka pindi kuna hitilafu au jaribio la kuingia
✅ Inazuia uhalifu kabla haujatokea!

Ufungaji wa electric fence si tu kuzuia wahalifu, bali ni hatua ya kwanza ya kujilinda kimaendeleo kwa kutumia teknolojia.

📞 Wasiliana nasi kwa ushauri na huduma bora: 0759 121 640
💡 Sema ndio kwa ulinzi wa kisasa na wa kuaminika!

24/10/2025

Kuwa na Security Systems sahihi si gharama ni uwekezaji katika utulivu na ulinzi wa mali zako.

Mfumo sahihi wa ulinzi unakusaidia:

✅ Kuzuia uvamizi kabla haujatokea
✅ Kufuatilia mali zako kwa muda halisi (real-time monitoring)
✅ Kuokoa muda na gharama za walinzi wa kawaida
✅ Kuongeza thamani na hadhi ya nyumba au biashara yako

Tunatoa huduma zifuatazo:

📹 CCTV CAMERAS (Smart & Remote Access)
⚡ ELECTRIC FENCE INSTALLATION
🚪 GATE MOTORS (Automatic Systems)
🚨 ALARM & FIRE ALARM SYSTEMS
💡 SMART HOMESC& IoT SECURITY SOLUTIONS
🧰 SYSTEM MAINTANANCE & CONSULTANCY

📍Tunapatikana : Makumbusho – Dar es Salaam, na tunahudumia mikoa yote Tanzania 🇹🇿

📞 Piga simu: 0759 121 640

Address

Kijitonyama
Dar Es Salaam
11000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KAMU Technologies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share