GIPA foods

GIPA foods Tunachakata na kuuza unga safi wa muhogo, wanga (Tapioca Starch) na nafaka mbalimbali kwa jumla na rejareja

NANE NANE 2026, TUTAKUWEPO KATIKA VIWANJA VYA NANE NANE MOROGORO KATIKA BANDA LA KIBAHA DC, KARIBUNI SANAπŸ™
29/07/2026

NANE NANE 2026, TUTAKUWEPO KATIKA VIWANJA VYA NANE NANE MOROGORO KATIKA BANDA LA KIBAHA DC, KARIBUNI SANAπŸ™

Je, unatafuta unga wa ubora wa juu kwa matumizi ya nyumbani, biashara au viwandani?GIPA FOODS & GENERAL SUPPLIES LIMITED...
23/07/2026

Je, unatafuta unga wa ubora wa juu kwa matumizi ya nyumbani, biashara au viwandani?

GIPA FOODS & GENERAL SUPPLIES LIMITED inakuletea:
βœ… Unga wa Muhogo (Cassava Flour)
βœ… Wanga wa Muhogo (Tapioca/Cassava Starch)
βœ… Unga wa Mahindi

πŸ“¦ Tunauza kwa Jumla na Rejareja
🚚 Delivery Dar es Salaam, Pwani na Mikoa yote Tanzania.
πŸͺ Tunahudumia:
β€’ Maduka makubwa na madogo
β€’ Hoteli na Migahawa
β€’ Bakeries
β€’ Viwanda vya Chakula
β€’ Wafanyabiashara wa jumla
β€’ Familia

βœ”οΈ Ubora unaoaminika
βœ”οΈ Bei za kuvutia
βœ”οΈ Huduma ya haraka
βœ”οΈ Bidhaa safi zilizozalishwa Tanzania

πŸ“² Wasiliana nasi leo kupata bei na kufanya oda.
Piga simu au tuma ujumbe kwa simu namba 0678 552 0678 552 460

Heri ya Siku ya Wafanyakazi! Leo tunasherehekea mikono inayojenga taifa na akili zinazozalisha maendeleo. Solidarity For...
01/05/2026

Heri ya Siku ya Wafanyakazi! Leo tunasherehekea mikono inayojenga taifa na akili zinazozalisha maendeleo. Solidarity Forever! βœŠπŸ’Ό

Zao moja, suluhisho elfu moja, yaani buku. Boresha uzalishaji wako kiwandani na nyumbani kwa wanga safi wa muhogo/tapioc...
29/04/2026

Zao moja, suluhisho elfu moja, yaani buku. Boresha uzalishaji wako kiwandani na nyumbani kwa wanga safi wa muhogo/tapioca kutoka Gipa Foods.
Wasiliana nasi sasa kupata chaguo bora zaidi

13/04/2026

πŸ‘‰ GIPA FOODS – Ubora Unaotegemewa!
Tunazalisha Tapioca (Cassava Starch), Unga wa Muhogo, Chips za Mihogo Mikavu, pamoja na Unga wa Sembe – zote zikiwa na ubora wa hali ya juu.

βœ”οΈ Safi na salama kwa matumizi ya chakula
βœ”οΈ Inafaa pia kwa matumizi ya viwandani (food & non-food industries)
βœ”οΈ Imetengenezwa kwa muhogo bora kutoka kwa wakulima wa ndani

Chagua GIPA FOODS – Ubora unaoonekana, thamani unayoipata!

πŸ“ž Wasiliana nasi leo kupata bidhaa hizi adhimu

Tunawatakia Pasaka yenye furaha, amani na baraka tele
05/04/2026

Tunawatakia Pasaka yenye furaha, amani na baraka tele

Quality you can trust. Cassava products you can rely on.GIPA FOODS βœ”
01/04/2026

Quality you can trust. Cassava products you can rely on.
GIPA FOODS βœ”

Eid Mubarak! Tunawatakia Waislamu wote duniani Sikukuu njema ya Eid iliyojawa na kheri na baraka za Mwenyezi Mungu.
21/03/2026

Eid Mubarak! Tunawatakia Waislamu wote duniani Sikukuu njema ya Eid iliyojawa na kheri na baraka za Mwenyezi Mungu.

Kampuni ya GIPA FOODS & GENERAL SUPPLIES LIMITED tunawatakia Wakristo wote Kwaresima njema yenye baraka na mafanikio ya ...
18/02/2026

Kampuni ya GIPA FOODS & GENERAL SUPPLIES LIMITED tunawatakia Wakristo wote Kwaresima njema yenye baraka na mafanikio ya kiroho.

Kipindi hiki kitakatifu kiwe muda wa kutafakari, kuomba, kusameheana na kujikurubisha zaidi kwa Mungu. Tuendelee kuonesha upendo, unyenyekevu na kusaidiana katika jamii zetu.

Mungu awape nguvu, afya njema na amani katika safari hii ya Kwaresima. ✝️

18/02/2026

πŸŒ™ Ramadhani Kareem kutoka GIPA FOODS! πŸŒ™

Katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani, GIPA FOODS & GENERAL SUPPLIES LIMITED (gipa foods) tupo pamoja na Waislamu wote – iwe ni kwa maandalizi ya iftar, sahur au kutoa msaada kwa wahitaji. Tunakuletea ofa maalum ya Ramadhani ili uweze kununua kwa bei nafuu lakini ubora wa juu.

πŸ”₯ OFA MAALUM YA RAMADHANI πŸ”₯

βœ… Unga wa Muhogo (High Quality Cassava Flour)
Badala ya TSh 2,000 ➑️ Sasa TSh 1,500 kwa kilo

βœ… Wanga wa Muhogo (Cassava Starch)
Badala ya TSh 3,000 ➑️ Sasa TSh 2,700 kwa kilo

βœ… Unga wa Mahindi
Badala ya TSh 1,300 ➑️ Sasa TSh 1,100 kwa kilo

βœ… Makopa Bora (High Quality Dried Cassava)
Badala ya TSh 1,400 ➑️ Sasa TSh 1,200 kwa kilo

Bidhaa zetu zinatengenezwa kwa kuzingatia viwango vya ubora wa hali ya juu, zikiwa salama na bora kwa matumizi ya familia na hata kwa msaada wa kijamii.

🚚 Huduma ya Delivery Inapatikana

Tunafanya delivery moja kwa moja ndani ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani.

Kwa wateja wa mikoani na nje ya nchi, tunaandaa na kusimamia taratibu zote za usafirishaji na uagizaji.

πŸ“ Tunapatikana: Ubungo – Dar es Salaam na Mlandizi – Pwani
πŸ“ž Wasiliana nasi leo: 0676 552 463

Usikose fursa hii ya kipekee ya Ramadhani. Nunua zaidi, okoa zaidi, na shiriki baraka za mwezi mtukufu na gipa foods. 🀍



Address

Ubungo
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 14:00

Telephone

+255676552463

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GIPA foods posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to GIPA foods:

Shortcuts

Share