Tanzania Technology Community

Tanzania Technology Community TTC is a platform that is designed to Solve Social problems in the country.

05/05/2026
Your kid should not miss this
16/04/2026

Your kid should not miss this

Kwa wazazi au Shule zenye wanafunzi na waalimu wanaohitaji kwenda Singapore karibuni Sana share na wote uwapendao kabla ...
16/04/2026

Kwa wazazi au Shule zenye wanafunzi na waalimu wanaohitaji kwenda Singapore karibuni Sana share na wote uwapendao kabla nafasi hazijajaa.

Mpendwa Mzazi,Pokea Salamu kutoka Tanzania Technology Community (TTC).Tunayo furaha kumualika mtoto wako kushiriki katik...
13/04/2026

Mpendwa Mzazi,

Pokea Salamu kutoka Tanzania Technology Community (TTC).

Tunayo furaha kumualika mtoto wako kushiriki katika:

Student Innovation & Digital Exhibition 2026

Yenye Kauli mbiu: _From Classroom to Real-World Impact._

Hii ni fursa ya kipekee inayolenga kuwasaidia wanafunzi kubadilisha yale wanayojifunza darasani kuwa miradi halisi na ubunifu wa vitendo.

Faida kwa mtoto wako:

✅ Kujiamini katika kuwasilisha mawazo
✅ Ujuzi wa kidijitali wa vitendo (Teknolojia, Ubunifu & Uvumbuzi)
✅ Uwezo wa kutatua matatizo na kufikiri kwa kina
✅ Uzoefu wa kutumia masomo ya darasani katika maisha halisi
✅ Mwongozo (mentorship) kutoka kwa wataalamu wenye uzoefu

Jinsi inavyofanyika:

Mwezi Aprili na Mei
Wanafunzi wataongozwa hatua kwa hatua kuunda miradi rahisi au ya kiwango cha juu

Hata k**a mtoto wako hana wazo bado, tutamsaidia kuligundua na kulijenga

Wanafunzi wenye miradi tayari wanakaribishwa kujisajili kwa ajili ya ukaguzi na kuionesha moja kwa moja siku ya tukio.

Mifano ya miradi:

1. Kutengeneza programu au mchezo rahisi wa kompyuta

2. Kubuni uwasilishaji wa kidijitali au kitabu

3. Kutatua changamoto ya jamii kwa kutumia teknolojia

4. Miradi ya sayansi au ubunifu

5. Miradi ya roboti (Robotics)

6. Miradi ya coding n.k

Kwa nini hii ni muhimu:

Katika dunia ya leo, mafanikio hayategemei tu kufaulu mitihani, bali uwezo wa mtoto kuunda, kutatua matatizo, na kuwasilisha mawazo yake.

Programu hii itamsaidia mtoto wako kutoka:
👉 Kujifunza darasani tu
➡️ kwenda
👉 Kutumia maarifa katika maisha halisi

Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu mtoto wako awe sehemu ya safari hii ya mabadiliko.

📞 Usajili & Mawasiliamo zaidi:
Call / WhatsApp:
📱 +255 715 334 256
📱 +255 779 240 375
Tujenge pamoja kizazi cha wabunifu. 🌍✨

Imetolewa na,
Tanzania Technology Community (TTC)
Innovation | Technology | Education

05/04/2026

Fun moment with young innovators

Address

P. O. Box 3413
Dar Es Salaam
111

Telephone

+255715334256

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Technology Community posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzania Technology Community:

Share