16/01/2025
Karibu Upate mashine nzuri ya Kutengeneza Matofali Kuanzia Tofali nne mpaka sita kwa mara moja,Pia inatengeneza tofali za paving,Cabestone pamoja na Holloblocks.
Unapata toroli mbili zakubebea matofari,unapata tools box moja na control box moja
Mashine zipo hapa Tanzania, Mafundi tunao na Spare zipo za kutosha.
Karibu ututembelee ofisi zetu zipo, Mwenge barabara ya Coca-Cola Karibu na Chuo Cha Tumaini.
0765998899.