25/07/2023
🔴✍️PAPE SAKHO BYE BYE SIMBA SC 🦁🇹🇿
-Klabu ya Simba SC imetaganza kufikia makubaliano ya kumuuza winga wao Pape Sakho raia wa Senegal🇸🇳 kwenda klabu ya Quevilly Rouen Metropole (QRM) inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Ufaransa🇫🇷 (Ligue 2)
Utamkumbuka kwa lipi mwamba huyu??
🔥✍️ JUMA MWAITEGO