18/04/2025
KUJIONGEZA
Tunataarifu umma kuwa tunajiongeza ili tuweze kuwahudumia ninyi na sisi kikubwa
Tunahama kutoka PlacePLAN Architects (ubunifu na usanifu wa majengo) kwenda PlacePLAN Limited (shughuli zote za maendeleo ya ardhi na usimamizi wa majenzi)
Asanteni kwa sapoti yenu, naomba endeleeni kutusapoti
Ernest Laizer