Puma energy Upanga

Puma energy Upanga •24hours Service station⛽️
•Shop express convenience store 🏪
•Located in the heart of Dar-es-Salaam

Usikae kinyonge weekend hii, weka full tank kwenye ndinga, huku ukilipia na kadi yako ya NMB Mastercard au Lipa Mkononi ...
28/08/2025

Usikae kinyonge weekend hii, weka full tank kwenye ndinga, huku ukilipia na kadi yako ya NMB Mastercard au Lipa Mkononi (QR) ufurahie rejesho la hadi 10%.

Pigia wadau mara tu ukiona mkeka wenu umesomaa.

SALAMU ZA RAMBIRAMBI🕯️Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti, pamoja na Wafanyakazi wote wa Puma Energy Tanzania tunatoa pole ...
07/08/2025

SALAMU ZA RAMBIRAMBI🕯️

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti, pamoja na Wafanyakazi wote wa Puma Energy Tanzania tunatoa pole za dhati kwa familia, Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, ndugu, jamaa na marafiki wote kufuatia kifo cha Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Job Ndugai.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe.

SHINDA MILIONI 5 YA MAFUTA KWA MWAKA MZIMA..🎉🇹🇿Nunua oili ya Puma ya lita 1 au 5 kutoka kwenye kituo chochote cha Puma E...
19/07/2025

SHINDA MILIONI 5 YA MAFUTA KWA MWAKA MZIMA..🎉🇹🇿

Nunua oili ya Puma ya lita 1 au 5 kutoka kwenye kituo chochote cha Puma Energy nchini uweze kujishindia mafuta ya mwaka mzima!

JINSI YA KUSHIRIKI:

✅ Nunua Oili ya Puma (1L au 5L) katika kituo chochote cha Puma Energy
✅ Scan QR code iliyo kituoni au tuma neno “Hi” kwenda WhatsApp namba: ‪+255 0800 11 1192‬
✅ Fuata hatua rahisi kwenye WhatsApp ili kujisajili
✅ Tuma picha ya risiti yako halali
✅ Hifadhi risiti yako k**a ushahidi wa kushinda

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255753063891

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Puma energy Upanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share