Gents Tanzania Technology

Gents Tanzania Technology We provide Air Conditioning & Electrical Services
�Servicing & Repair � Installation�Sales & Supply

Gents Tanzania Technology ni kampuni inayokuletea teknolojia mpya katika mifumo ya Viyoyozi (Air Conditioning Systems) n...
23/02/2023

Gents Tanzania Technology ni kampuni inayokuletea teknolojia mpya katika mifumo ya Viyoyozi (Air Conditioning Systems) na mifumo ya umeme (Electrical Installation and Accessories).

Gents Tanzania Technology imeunda teknolojia hii Ili kukidhi mahitaji mbali mbali ya binadamu.

Gents Tanzania Technology inafanya ufungaji wa Viyoyozi (Air Conditioner) kuanzia uandaaji wa michoro, ufungaji na usimamizi baada ya ufungaji.

Gents Tanzania Technology inatoa huduma ya uangalizi na usimamizi wa majengo (Facility Maintenance & Building Management) kwenye mifumo ya Viyoyozi (Air Conditioning Systems) na umeme (Electrical systems).

Gents Tanzania Technology inatoa huduma ya uuzaji na usambazaji (Sales & Supply) wa Viyoyozi (Air Conditioners) vya aina zote.

Gents Tanzania Technology inatoa huduma ya uuzaji na usambazaji wa Materials yote yanayohitajika katika ufungaji na urekebishaji (Installation & Maintenance) wa Viyoyozi na umeme.

Wasiliana nasi:
E-mail: [email protected]
Website: www.gents.co.tz
Hotline: +255759057399

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 13:00

Telephone

+255759057399

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gents Tanzania Technology posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share