11/06/2026
π³β οΈ SHARE NA FUNDI HUYU JINAI YA KUTINDUA UKUTA! β οΈπ³
Bado kuna mafundi wanatindua ukuta mzima kwa nyundo na patasi π€
π Wakati Wall Chaser inakata njia safi ya bomba au umeme bila kuharibu ukuta ovyo.
βΈ»
β Kutindua kwa nguvu:
β’ Kunaharibu ukuta
β’ Kunatumia muda mwingi
β’ Kunahitaji plasta nyingi za kurekebisha
β’ Finishing inakuwa ngumu
βΈ»
β
Kutumia Wall Chaser:
β’ Njia safi na straight π
β’ Uharibifu mdogo wa ukuta
β’ Kazi ya haraka β‘
β’ Finishing safi na professional π
βΈ»
π‘ Mteja wa leo hataki kuona ukuta umechanwa k**a vita vimepita.
π Acha jinai ya kutindua ukuta, tumia Wall Chaser na fanya kazi za kisasa.
π MAWO BUY β Mwananyamala Ujiji
π 0750401818
π 0757471618
PigaPesa UjenziWaKisasa