Joe Civil and Building Contractor Company Limited

  • Home
  • Joe Civil and Building Contractor Company Limited

Joe Civil and Building Contractor Company Limited Joe Civil and Building Contractor Co Ltd
Waandaaji wa raman za majengo, bajeti (B.O.Q) pamoja na ujenzi wa majengo. Site visit and Consultation

Design/construction/ Renovation/ Finishing
Residential & Commercial buidings.

14/08/2026
14/08/2026
13/08/2026

Kubwa na nzuri kwa matumizi lakini ndogo kwa bajeti (120M TZS tu) unaweza kujenga hii nyumba uk**aliza na kuhamia kabisa.
Sifa zake ni hizi
GROUND FLOOR

sitting room
one master bedroom
single bedroom
kitchen
store
dinning
one car parking

FIRST FLOOR

one master bedroom
walk in closet
Resting area ( pergola)

Ukubwa wa kiwanja 15mx15m nakuendelea
Bajeti ya kujenga nyumba peke yake kuanzia levelling, msingi hadi finishing na kukabidhiwa fungua kuhamia ni 120,000,000 TZS(120M TZS tu).
Wasiliana nasi leo
Call/whatsapp +255 743 098 584




11/08/2026

Ww unayehitaaji kujenga hakikisha unawasiliana na wataalamu katika kila hatua ili upate kilichobora.

JOE tupo kwa ajili yako wasiliana nasi leo kwa khuduma zote za ujenzi kuanziq site vist, uandaaji wa ramani, ushauri( consultation), bajeti( BOQ) na ujenzi mwanzo mwisho.
Pia tunafanya marekebisho ( renovation) na finishing za kisasa ikiwemo Garden and Landscaping.

Karibuni sana.
Call/whatsapp +255 743 098 584

Karibu sana kwa huduma za ujenzi. Tunathamini ndoto zako za ujenzi na kuzifanya halisi kwa weledi, na bajeti kwa uwazi.C...
11/08/2026

Karibu sana kwa huduma za ujenzi. Tunathamini ndoto zako za ujenzi na kuzifanya halisi kwa weledi, na bajeti kwa uwazi.
Call/whatsapp +255 743 098 584




09/08/2026

2Bedroom Apartment design.
Biashara ya nyumba kwa mfumo wa rental apartment pamoja na Airbnb ni nzuri sana na yenye faida hasa pale unapojenga mahali sahihi na penye uhitaji huo.

Kwa ww muwekezaji hii itakufaa sana.
2bedroom
Sitting room
Kitchen
Public Toilet.
Pamoja na mazingira mazuri sana na ya kuvutia na geti lenye design nzuri na mvuto wa kisasa.

Karibu tukuhudumir kuanzia site visit, kuandaa ramani, bajeti ya nyumba , ushauri naa ujenzi wa nyumba mwanzo mwisho.
Call/whatsapp +255 743 098 584




05/08/2026

Ndoto yako kazi yetu. Unapenda design nzuri na za kisasa na ujezni wa kisasa kwa uwazi , ubora na uaminifu mkubwa kwa kuzingatia bajeti pia.
Hii design ni kwa ajili yako. Nyumba kwa ajili ya familia ni kubwa kutosha matumiz ya familia inakufaa sana.

4Bedroom
Sitting room
Dining
Kitchen
Store

Huduma zetu.
Site visit
Design/ramani
BOQ/bajeti
Consultation and construction/ Ujenzi Karibu sana kwa kazi nzuri za viwango na kwa uwazi.

Call/ whatsapp +255 743 098 584




05/08/2026

Nyumba yako imezingatia mambo gani kwenye design kabla ya kutekeleza ujenzi

Design haiishii kwenye nyumba tu, lazima kuhakikisha mpangilio mzima wa kiwanja chako unakuwa mzuri na wa kuvutia bila kusahau bajeti sahihi kwa uwazi zaidi.

Mazingira k**a paving, Garden na landscape kwa bila kusahau mifumo ya maji taka kwa ujumla huleta radha ya kuvutia na madhari nzuri.

MAIN HOUSE WITH 5BEDROOM

GROUND FLOOR
2self contained Bedroom
Sitting Room
Dining
Kitchen
Store
Public Toilet

FIRST FLOOR
2self contained Bedroom
Master Bedroom
Prayer room
Balcony.
Top roof resting Pergola

Nyumba ndogo(SERVANT HOUSE)

Wasiliana nasi leo kwa site visit, uandaaji wa ramani, bajeti ya ujenzi, ushauri na ujenzi kwa ujumla.

Call/whatsapp +255 743 098 58




Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Joe Civil and Building Contractor Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Engineering Company?

Share