Madini Yetu Tanzania Limited

Madini Yetu Tanzania Limited Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Madini Yetu Tanzania Limited, Dar es Salaam.
(1)

DUKA letu la kuuza VIFAA/mashine za migodini linapatikana DAR ES SALAAM, mabibo sokoni (soko la ndizi) TUPIGIE SIMU:

AIRTEL: +255-688-896-588 (Whatsapp)
HALOTEL: +255-629-583-588 (Whatsapp)

Google map: https://maps.app.goo.gl/3jCoGHyLvZUJfFqw8?g_st=awb

Garmin GPSMAP MONTANA 760i, ipo dukani kwetu kwa TSH 3,750,000/=, 0688-896-588NB: *kumbaka kwamba hii ndio GPS BORA na y...
09/06/2026

Garmin GPSMAP MONTANA 760i, ipo dukani kwetu kwa TSH 3,750,000/=, 0688-896-588

NB: *kumbaka kwamba hii ndio GPS BORA na ya KISASA zaidi kwenye kampuni ya USA 🇺🇸 ya Garmin, hii Ina Kila kitu, CAMERA, TOCHI, SCREEN TOUCH, unachaji kwa TYPE-C, elewa tuu Ina Kila kitu*

0688-896-588
0629-583-588

TSH 90,000,000/= tuu*Haya Chuma hiyo*🔥🔥HITACHUSAJILI NO. BYN*Bei 90M*Haina shida yoyote ipo kazini inatinga0688896588062...
09/06/2026

TSH 90,000,000/= tuu

*Haya Chuma hiyo*🔥🔥
HITACH
USAJILI NO. BYN
*Bei 90M*
Haina shida yoyote ipo kazini inatinga

0688896588
0629583588

HIZI CCTV CAMERA 8 UTAZIPATA KWA TSH 1,300,000/=********************************************K**a mgodini kwako Bado huja...
09/06/2026

HIZI CCTV CAMERA 8 UTAZIPATA KWA TSH 1,300,000/=

*******************************************
*K**a mgodini kwako Bado hujafungua CCTV CAMERA ujue WEWE kwenye swala la USALAMA WEWE mgodi wako ni BADO*
*******************************************

NOTE:
⬛ utazifunga KATIKA eneo la mgodi wako au nyumba yako...

⬛ HIzi camera zitaunganishwa Moja kwa moja na simu yako kiasi kwamba wewe mmiliki wa mgodi /nyumba utakuwa unafatilia matukio yote yanayofanyika kwenye mgodi wako au nyumba yako hata k**a upo mbali na mgodi wako, yaani mgodi upo GEITA porini ila WEWE upo zako dar es salaam/ Dubai ila utakuwa unafatilia matukio yote yanayotendeka KATIKA mgodi wako live kwa kupitia simu yako ya mkononi

⬛Camera hizi zina ubora wa hali ya juu sana kiasi kwamba zinarekodi video za matukio yote zenye ubora wa juu mnooo...

NB: Mteja k**a atahitaji atakuja kufungiwa camera zake na wataalamu wetu kwa garama za MTEJA

PIGA SIMU

0688-896-588
0629-583-588

09/06/2026

CCTV CAMERA

Kila mgodi ni MUHIMU SANA kuwa na CCTV camera kwa ajili ya USALAMA wa mgodi, sisi MYT tunaziuza CCTV set zenye KAMERA 8 utazipata kwa TSH 1,300,000/=

150*250 bei MiL 7200*300 bei mi 10250*400 bei mil 170688896588
07/06/2026

150*250 bei MiL 7
200*300 bei mi 10
250*400 bei mil 17

0688896588

06/06/2026

MINING COMPRESSOR PISTON 4

engine ISUZU

Location DAR

0688896588

06/06/2026

IngersollRAND MINING COMPRESSOR

piston 4, engine KUBOTA

TSH 25.5milion

0688896588

Huu ni  mgodi wa DHAHABU upo Canada , hapa madini yaligunduliwa TOKA mwaka 1923 mpaka Leo watu wanakula mali tuuu....
06/06/2026

Huu ni mgodi wa DHAHABU upo Canada , hapa madini yaligunduliwa TOKA mwaka 1923 mpaka Leo watu wanakula mali tuuu....

TSH 1,950,000/= JD ORIGINAL NDIO HII SASA....., hii ni special kwa wale wanaohitajigi vitu vyenye UBORA wa haliyajuu TUU...
06/06/2026

TSH 1,950,000/=

JD ORIGINAL NDIO HII SASA....., hii ni special kwa wale wanaohitajigi vitu vyenye UBORA wa haliyajuu TUUU, wale tunaopenda liwalo na liwe nitafutie ya 1.3milioni ili mradi inawaka Leo piteni kidogo bila kukoment🤣🤣🤣🤣

0688896588

06/06/2026

Tunachonga MAKARASHA ya mifuko 3 na 4 karibuni sana muweke ODA, Tupo Dar MABIBO SOKONI 0688-896-588

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Madini Yetu Tanzania Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share