Kalumine

Kalumine KALUMINE is the rapid growing mining information network found in Tanzania.

To be the leading mining information East Africa, used as a hub of information and products including research findings, consultation and training in oil, gas & mining Industrial sector

28/01/2017

:Matumaini ya kuwapata watu walionasa chini ya mgodi Geita yameongezeka baada ya timu ya waokoaji kufanikiwa kuchoronga mwamba na kufikia wachimbaji hao ambao wametuma ujumbe mfupi kwamba wako 15 na wote wako hai ila wameomba chakula kwa kuwa wana njaa na mmoja wao sasa haongei kwa kuzidiwa njaa.
Tayari timu ya madaktari kutoka Hospitali ya Mkoa wa Geita na hospitali ya Waja wametuma glucose na maji ambayo yamepokelewa.

Gold dipped to a two-week low on Monday hurt by a stronger dollar and investors moving money into equities with major US...
28/01/2017

Gold dipped to a two-week low on Monday hurt by a stronger dollar and investors moving money into equities with major US stock markets continuing to trade at record levels.

Gold for delivery in February, the most active contract on the Comex market in New York, was exchanging hands at $1,187.20 in late afternoon dealings, trimming year-to-date gains for the metal to 3%.
http://www.mining.com/world-banks-gold-price-bear/?utm_source=digest-en-mining-170126&utm_medium=email&utm_campaign=digest

Gold price to drop 8% in 2017 according to bank's January Commodities Outlook, but industrial metals face much better prospects.

05/01/2017

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuufahamisha Umma kuwa liko katika hatua mbali mbali za mabadiliko ya Uongozi wa ndani ya Shirika kwa lengo la kuongeza ufanisi zaidi.

Kwa msingi huo, mabadiliko yanayoendelea ndani ya Shirika yatawekwa wazi kwa wakati muafaka kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za Shirika kwa kupitia vyombo vya habari.

Hivyo tunaomba vyombo vya habari vitoe fursa kwa Mamlaka husika kuendelea kukamilisha zoezi hili muhimu kwa maendeleo ya Shirika na Taifa kwa ujumla na taarifa rasmi itatolewa baada ya zoezi kukamilika.


IMETOLEWA NA: OFISI YA UHUSIANO
TANESCO - MAKAO MAKUU
05 Januari 2017

ACACIA YASAINI MKATABA WA HATI FUNGAMANI WA MAZINGIRASerikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imetiliana saini na Ka...
29/12/2016

ACACIA YASAINI MKATABA WA HATI FUNGAMANI WA MAZINGIRA
Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imetiliana saini na Kampuni ya Acacia Mining Plc, mikataba ya hati fungani kwa ajili ya ukarabati wa mazingira kwa migodi yake yote nchini.

Tukio hilo la utiaji saini lilifanyika jana Makao Makuu ya Wizara ambapo mikataba hiyo ilisainiwa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Makamu wa Rais wa Acacia, Deo Mwanyika.
https://mem.go.tz/acacia-yasaini-mikataba-ya-hati-fungani-ya-mazingira/

Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imetiliana saini na Kampuni ya Acacia Mining Plc, mikataba ya hati fungani kwa ajili ya ukarabati wa mazingira kwa migodi yake yote nchini. Tukio hilo la utiaji saini lilifanyika jana Makao Makuu ya Wizara ambapo mikataba hiyo ilisainiwa na Waziri wa Nish...

09/07/2016

MGODI WA DHAHABU WA MMG GOLD LTD KUANNZA UZALISHAJJI SEPTEMBA,2016
Imeelezwa kuwa mgodi wa kati wa dhahabu uliopo katika kijiji cha Seka wilayani Musoma utaanza uzalishaji mwezi Septemba mwaka huu.
Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati) akiwa na wanafunzi wa shule ya msingi Bukumi, ambapo alikabidhi madawati 71 na kumaliza tatizo la madawati katika shule hiyo.
Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati) akiwa na wanafunzi wa shule ya msingi Bukumi, ambapo alikabidhi madawati 71 na kumaliza tatizo la madawati katika shule hiyo.
Hayo yameelezwa wilayani Musoma wakati wa Ziara ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo aliyoifanya katika mgodi huo ili kukagua uendelezaji wa mgodi husika.
Read more..........................https://mem.go.tz/mgodi-wa-dhahabu-wa-mmg-gold-ltd-kuannza-uzalishajji-septemba2016/

BARRICK GOLD CHAIRMAN JOHN THORNTON TAKES A 76% PAY CUTCanada’s Barrick Gold (TSX, NYSE:ABX), the world’ largest produce...
27/03/2016

BARRICK GOLD CHAIRMAN JOHN THORNTON TAKES A 76% PAY CUT
Canada’s Barrick Gold (TSX, NYSE:ABX), the world’ largest producer of the precious metal, has decided to shrink its chairman salary by almost US$10 million, or 76% its current pay, in response to relentless criticism from investors over the firm’s compensation packages.

John Thornton, 62, will receive $3.4 million for his work in 2015, including compensations and pension, a significant reduction from the almost $13 million he pocketed in 2014, according to a regulatory filing.
Read more....http://www.mining.com/barrick-gold-chairman-john-thornton-takes-a-76-pay-cut/?utm_source=digest-en-mining-160325&utm_medium=email&utm_campaign=digest

He will receive $3.4 million for his work in 2015, including compensations and pension, a significant reduction from the almost $13 million he pocketed in 2014.

WORLD’S NO.1 COPPER MINER CODELCO POSTS HISTORIC LOSS OF $1.4BN IN 2015Chile’s Codelco, the world’s No.1 copper producer...
27/03/2016

WORLD’S NO.1 COPPER MINER CODELCO POSTS HISTORIC LOSS OF $1.4BN IN 2015
Chile’s Codelco, the world’s No.1 copper producer, posted Thursday (in Spanish) a net loss of $ 1.4 billion for 2015 related to asset impairments and a sharp fall of prices for the red metal.

The company, which produces nearly 11% of the total global copper supply, booked $2.4 billion in write-downs, and said the results were its worst bottom-line figures since it began issuing earnings reports in the early 1990s.

Delivering the results, president executive Nelson Pizarro, said he believed 2015 was the worst year ever for the state-owned company, citing the sharp drop in metal prices as the main reason for it.
Read More on.........http://www.mining.com/worlds-no-1-copper-miner-codelco-posts-historic-loss-of-1-4bn-in-2015/?utm_source=digest-en-mining-160324&utm_medium=email&utm_campaign=diges

For every penny copper prices drop, Codelco loses $36 million and Chile, the world's largest producing country, $50 million.

Kalumine team tunakupongeza Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwa kazi nzuri na yenye mfa...
22/01/2016

Kalumine team tunakupongeza Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwa kazi nzuri na yenye mfano.

30/12/2015

Kalumine magazine will be coming soon! Give us your thoughts on how to reach our customers?

Address

Mandela Road, Near Mabibo Hostel, Kinondoni
Dar Es Salaam
79422

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00

Telephone

255712234914

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kalumine posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category