Mashimo ya vyoo ya kisasa

Mashimo ya vyoo ya kisasa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mashimo ya vyoo ya kisasa, Construction Company, boko, Dar es Salaam.

Tunatengeneza mashimo ya vyoo ya kisasa ambayo ni ya kudumu, safi, rafiki kwa mazingira na bila usumbufu wa kujaza.FAIDA...
01/04/2026

Tunatengeneza mashimo ya vyoo ya kisasa ambayo ni ya kudumu, safi, rafiki kwa mazingira na bila usumbufu wa kujaza.

FAIDA ZA MIFUMO YETU:

Hayajai kamwe - hakuna tena shida ya kutoa majitaka. Huchukua eneo dogo hata kwenye viwanja vidogo yanafaa.

Hayatoi harufu kabisa mazingira yanabaki safi na ya kupendeza.

Ni nafuu - gharama zake ni rafiki kwa kila mtu. Rafiki kwa mazingira yanachangia uhifadhi wa ardhi na maji.

Hutumia ardhi yako kwa ufanisi haipotei bure!

GHARAMA ZETU:

Mfumo wa tofali pekee: Tsh 800,000/=

Kuboresha choo cha zamani kwa kuongeza mfumo wa mawe: Tsh 600,000/=

Mfumo kamili kwa maeneo yenye maji: Tsh 1,200,000/=

NB: Gharama zinaweza kupungua kulingana na eneo ulipo! WASILIANA NASI LEO:

0678 670677
0757 970677

Tunafika popote Tanzania nzima! Choo cha kisasa ni heshima kwa familia na mazingira. Tuchukue hatua leo... acha mashimo ya kizamani yasikusumbue tena

01/04/2026
19/03/2026
16/03/2026

Ofa ofa ofa Kwa msimu huu wa sikuku utajipatia shimo la kisasa lisilojaa kwa bei punguzo na rahisi sanaa Faida ya mfumo ...
29/12/2025

Ofa ofa ofa

Kwa msimu huu wa sikuku utajipatia shimo la kisasa lisilojaa kwa bei punguzo na rahisi sanaa

Faida ya mfumo huu

1/. Haujai kamwe
2/. Hauna harufu
3/. Huchukua eneo dogo
4/. Ni rafiki kwa mazingira
5/. Hutoa matumizi mazuri ya eneo lako
6/. Huondoa adha ya juita gari ya kunyonya mala kwa mala

Tupigie kwa namba

0629964552
0678670677

Tunafika popote danzania

📍 Boko dar es salaam

Kazi huchukua siku tatu mpaka nne

Karibu mteja wetu tumejipanga kukuhudumia

Mfumo bora wa choo cha kisasa usiojaa kamwe
12/12/2025

Mfumo bora wa choo cha kisasa usiojaa kamwe

Address

Boko
Dar Es Salaam

Telephone

+255678670677

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mashimo ya vyoo ya kisasa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mashimo ya vyoo ya kisasa:

Share