11/10/2025
Jana Hedera Hackathon Tanzania stations workshop ilikuwa kubadili idea yako kuwa na simple frontend, kusignup account ya github, kujitofautisha kwenye design yako na designs za wanaotumia AI bila ujuzi wa UI/UX na kupush codebase/kazi uliyoifanya github kutoka lovable
1️⃣Nenda kwenye hedera hackathon link angalia track mojawapo unayoona inakuvutia https://dorahacks.io/hackathon/hederahackafrica/detail
2️⃣ Copy hayo maelezo ya hio track k**a ilivyo na nenda Chat GPT(https://chatgpt.com). Iambie "kutokana na hii track nitajie matatizo x (weka idadi hapo) kwa kutumia taarifa sahihi za Tanzania na nipe ripoti katika namna nii
>Tatizo husika
>Utatuzi kwa kutumia hedera hakikisha unapitia hapa kwa taarifa zaidi (https://docs.hedera.com/hedera/)
>Utatuzi wa kipekee kunifanya mimi na team yetu kushinda katika mchuank huu mkali kwani tunashindana na nchi zote za Africa k**a Kenya na Nigeria
>Namna Hedera itatua tatizo hilo
3️⃣ Jibu itakayokupa icopy na upaste na uiambie niandikie prompt itakayotumika na AI coding agent kuunda MVP. Prompt itakayokupa peleka lovable https://lovable.dev/
4️⃣Kuhakikisha design yako haifanani na designs za websites zilizoundwa na AI iandikie prompt "Kwa kutumia UI/UX modern design concepts zilizothibitishwa kufanya kazi boresha MVP yetu. Pitia hapa kwa muongozo https://developer.apple.com/design/tips/.
K**a kuna errors endelea kufix na prompts
5️⃣ K**a huna account ya github jisajili, k**a unayo ukiwa pale lovable connect nayo, then bonyeza sync with github. Itakutengenezea repo yenye code yako.
6️⃣Sio lazima utumie lovable, kuna AI coding agents lukuki unaweza tumia. Fahamu kwamba una prompt 5 tu za bure kule. Tools na Ai zingine unaweza tumia ni:-
1. https://firebase.google.com/ hii inafaa sana kwa ambao hawana laptop coz ni webapp na unafanya kila kitu hapo hapo frontend na backend/blockchain
2. https://replit.com/ pia unamaliza kila kitu sema shida sidhani k**a wanafree tokens kwa sasa
3. https://base44.com/
4. https://bolt.new/ hii ni k**a lovable tu
5.https://aistudio.google.com/prompts/new tumia hii k**a uko na ujuzi kidogo itakusaidia
6. Kwa wenye laptop/computer https://cursor.com/agents, http://trae.ai/, https://voideditor.com/, https://windsurf.com/, https://github.com/features/copilot ndani ya vscode https://code.visualstudio.com/ na nyingine nyingi.
Uzuri tools nyingi k**a ndo mara ya kwanza wanakupa credits za bure.
Tuonane kesho, tuanzae kuunda teams na kubrainstorm ideas, usianze kubuild mpka pale umeona umejiridhisa pia pitia pale discord 👇 (https://discord.gg/qEh7wXEwHf).
Hata k**a kuna idea inafanana na yako, hata k**a itakuwepo boresha zaidi na ktk context ya Tanzania au Africa kwa ujumla
Kwa UI/UX design kuna tools nyingi lakini kwa urahisi tumia hii https://stitch.withgoogle.com utapata mwanga wa design yako kabla ya kuenda kuandika code; Iwe AI, manual au mchanganyiko
AI na tools kwa ujumla ni nyingi sana.Hatuwezi maliza zote leo, chagua chache ambazo sitakusaidia.
⚠️ 🇹🇿 Usicomplicate Maisha ... work smart.
Tuonane tena leo saa mbili kamili usiku. Jiunge mapema kwa wale tumekuwa tangu juzi link ni ile ile 👇
https://luma.com/1atcl1sp
# Hedera Africa Hackathon 2025 The **Hedera Africa Hackathon 2025** is a continent-wide innovation program co-organized by **Exponential Science** and **The Hashgraph Association**. Designed to mobilize Africa’s growing tech talent, the hackathon invites developers, students, startups, and innovat...