21/10/2025
Unasumbuka kupata hydraulic au pneumatic seals kwaajili ya mitambo yako? Usisumbuke tena. Sisi Tese ni wataalamu wa kutengeneza hydraulic na pneumatic seals zenye ubora wa kimataifa. Seals zetu zinapatikana ndani ya muda mfupi hivyo huna haja ya kusubiria kwa muda mrefu au kuagiza toka nchi za nje.
Wasiliana nasi leo tuweze kukusaidia
Simu: 0767 103 105/ 0710 280 810
Email: [email protected]
Website: tesetz.com