15/12/2020
Tumebobea kwenye masuala ya teknologia,tunafunga CCTV camera tunaunganisha kwenye simu,tunafanya industrial electrical na domestic electrical installation,tunafanya checkup ya umeme,tunafunga pump za maji zinazofanya kazi automatic,tuna unganisha genereta kwa umeme automatic linajiwasha punde umeme ukikatika,tunafunga shot ya umeme kweny fence yako,alarm system na pbx extension phones kweny lodges na hotels,tunafunga ma dish ya azam,Dstv na satellites.