27/05/2026
Kisima Chako Kinaweza Kuwa Kinakufa Taratibu Na Wewe Huenda Hujagundua Bado
Leo maji yanatoka
Kesho yanaanza kutoka na tope
Baada ya muda presha inapungua halafu ghafla pump inaanza kusumbua…
Watu wengi hudhani tatizo ni dogo lakini ukweli ni huu:
Visima vingi havifi kwa kukosa maji vinaharibika kwa kukosa matengenezo
Tope, vumbi, vipande vya miamba na uchafu hujikusanya ndani ya kisima taratibu mpaka njia za maji zinaziba
Ndiyo Maana:
- Maji Yanakuwa Machafu
- Kiwango cha Maji Kinapungua
- Pump inalazimika kufanya kazi kwa nguvu zaidi
- Na gharama za matengenezo zinaanza kuongezeka
Habari Njema ni Kwamba…
Kabla tatizo halijawa kubwa, kisima kinaweza kusafishwa na kurudi kwenye ubora wake tena
Kupitia Flushing Ya Kitaalamu Tunasaidia:
(i) Kuondoa tope na uchafu uliopo ndani ya kisima
(ii) Kusafisha kokoto zinazochuja maji
(iii) Kufungua njia za maji zilizoziba
(iv) Kuboresha mtiririko wa maji
(v) Kuongeza ufanisi wa kisima na pump
Pia Tunafanya Ukarabati Wa Kisima Kwa:
(i) Kukagua mfumo mzima wa maji
(ii) Kuangalia maungio yanayovuja
(iii) Kukagua pump k**a ina tatizo
(iv) Kufanya marekebisho ya kitaalamu kabla hujapata hasara kubwa
Usisubiri Mpaka Maji Yakate Kabisa Ndiyo Uchukue Hatua...
Dalili Ndogo za Leo Kesho Zinaweza Kuwa Gharama Kubwa
Tunatoa Huduma Za
(i) Groundwater Survey
(ii) Uchimbaji Wa Visima vya Maji
(iii) Kusafisha Visima (Flushing)
(iv) Kufunga Na Kutengeneza Pump
(v) Na Huduma Zote Zinazohusiana Na Visima
Piga Simu Leo: 0718600290
Email: [email protected]