Chloride Exide Tanzania

Chloride Exide Tanzania Energy Solutions for All.
๐Ÿ’ก Automotive Batteries | Energy Storage | Solar Power | Water Heating

SAFARI NI MWANZO MWISHO!Kutoka โ€œnipo njianiโ€ mpaka โ€œnimefika salamaโ€.Safari nzuri huanza na betri ya uhakika ya Chloride...
10/06/2026

SAFARI NI MWANZO MWISHO!

Kutoka โ€œnipo njianiโ€ mpaka โ€œnimefika salamaโ€.

Safari nzuri huanza na betri ya uhakika ya Chloride Exide.

Nguvu ya kuaminika kila wakati.



NGUVU 100%, UBORA WA HALI JUUChloride Exide inakupa nguvu ya uhakika kila unapowasha gari lako.Betri imara zenye nguvu m...
08/06/2026

NGUVU 100%, UBORA WA HALI JUU

Chloride Exide inakupa nguvu ya uhakika kila unapowasha gari lako.

Betri imara zenye nguvu muda wote zikupazo uhakika wa safari.

Enjoy gari lako kila wakati ukiwa na betri za uhakika.



UKIFUNGA BETRI ZA CHLORIDE EXIDE HAKUNA STRESS!Tabasamu kila wakati ukiwasha gari lakoIwe ni safari ndefu au fupi uhakik...
05/06/2026

UKIFUNGA BETRI ZA CHLORIDE EXIDE HAKUNA STRESS!

Tabasamu kila wakati ukiwasha gari lako

Iwe ni safari ndefu au fupi uhakika wa kufika ni 100%

Wajanja wote wamefunga betri za Chloride Exide



HAKUNA LONGOLONGO TENAUkiwa na Betri za Chloride Exide, unaondoka kwa wakati na unafika kwa wakati.Nguvu ya uhakika inay...
01/06/2026

HAKUNA LONGOLONGO TENA

Ukiwa na Betri za Chloride Exide, unaondoka kwa wakati na unafika kwa wakati.

Nguvu ya uhakika inayokupa safari bila visingizio.



ANZA SAFARI BILA WASIWASIChagua Chloride Exide kwa nguvu ya kuaminika kila safari.Uhakika wa safari huanza na betri imar...
27/05/2026

ANZA SAFARI BILA WASIWASI

Chagua Chloride Exide kwa nguvu ya kuaminika kila safari.

Uhakika wa safari huanza na betri imara

Safari iendelee bila wasiwasi!



Tunawatakia Waislamu wote Eid al-Adha yenye amani, upendo na baraka tele.Mwenyezi Mungu azipokee dhabihu na ibada zenu, ...
27/05/2026

Tunawatakia Waislamu wote Eid al-Adha yenye amani, upendo na baraka tele.

Mwenyezi Mungu azipokee dhabihu na ibada zenu, na awajalie furaha, afya njema na mafanikio katika kila hatua ya maisha.

Katika kipindi hiki cha mshik**ano na kutoa kwa moyo wa upendo, tunaendelea kuthamini na kuhudumia jamii kwa suluhisho bora za nishati kwa maisha endelevu.

Eid al-Adha Mubarak kutoka Chloride Exide Tanzania Limited โœจ

Betri si betri tu.K**a unahitaji betri iliyo imara na yenye nguvu k**a gari lako, unahitaji kuchagua betri sahihi kabisa...
15/05/2026

Betri si betri tu.

K**a unahitaji betri iliyo imara na yenye nguvu k**a gari lako, unahitaji kuchagua betri sahihi kabisa ya EXIDE.

๐”๐ง๐š๐ก๐ข๐ญ๐š๐ฃ๐ข ๐ค๐ฎ๐œ๐ก๐š๐ ๐ฎ๐š ๐„๐—๐ˆ๐ƒ๐„ ๐’๐ฎ๐ฉ๐ž๐ซ๐ข๐จ๐ซ ๐Œ๐… ๐ˆ๐๐’๐ˆ๐ƒ๐„.

Inapendekezwa na wataalamu kwa Toyota:
โœ… Prado
โœ… Lexus
โœ… Land Cruiser VXs

๐Ÿ“ฒ Simu: 0715755555
๐Ÿคณ๐Ÿพ WhatsApp: 0677484631 nasi tutakusaidia kupata EXIDE INSIDE!


Betri si betri tu.Ukihitaji gari lako la kifahari liwe na nguvu ya kuendesha vizuri zaidi kwa muda mrefu, lazima uchague...
13/05/2026

Betri si betri tu.

Ukihitaji gari lako la kifahari liwe na nguvu ya kuendesha vizuri zaidi kwa muda mrefu, lazima uchague betri ya EXIDE inayofaa gari lako.

๐”๐ง๐š๐ก๐ข๐ญ๐š๐ฃ๐ข ๐ค๐ฎ๐œ๐ก๐š๐ ๐ฎ๐š ๐„๐—๐ˆ๐ƒ๐„ ๐€๐†๐Œ ๐ˆ๐๐’๐ˆ๐ƒ๐„.

Inapendekezwa na wataalamu kwa:
โœ… Mercedes Benz
โœ… BMW
โœ… Volvo
โœ… Porsche
โœ… Range Rover
โœ… Volkswagen
โœ… Audi
โœ… Ford

๐Ÿ“ฒ Simu: 0715755555
๐Ÿคณ๐Ÿพ WhatsApp: 0677484631 nasi tutakusaidia kupata EXIDE INSIDE!


Leo tunasherehekea wanawake wenye nguvu, upendo na moyo wa dhati โค๏ธAsanteni kina mama kwa kutupa mwanga wa maisha kila s...
10/05/2026

Leo tunasherehekea wanawake wenye nguvu, upendo na moyo wa dhati โค๏ธ

Asanteni kina mama kwa kutupa mwanga wa maisha kila siku

Heri ya Siku ya Mama kutoka Chloride Exide Tanzania โ˜บ๏ธ


Betri si betri tu.K**a unataka gari yako iwe na nguvu ya kuendesha vizuri kwa muda mrefu zaidi, unahitaji kuchagua betri...
08/05/2026

Betri si betri tu.
K**a unataka gari yako iwe na nguvu ya kuendesha vizuri kwa muda mrefu zaidi, unahitaji kuchagua betri ya EXIDE inayofaa kabisa kwa gari yako.
๐”๐ง๐š๐ก๐ข๐ญ๐š๐ฃ๐ข ๐ค๐ฎ๐œ๐ก๐š๐ ๐ฎ๐š ๐„๐—๐ˆ๐ƒ๐„ ๐„๐…๐ ๐ˆ๐๐’๐ˆ๐ƒ๐„.

Inapendekezwa na wataalamu kwa:

โ–ช๏ธMazda Atenza/Mazda 6
โ–ช๏ธMazda CX-5
โ–ช๏ธMazda CX-3
โ–ช๏ธMazda 3
โ–ช๏ธMazda Demio

๐Ÿ“ฒ Simu: 0715755555
๐Ÿคณ๐Ÿพ WhatsApp: 0677484631 nasi tutakusaidia kupata EXIDE INSIDE!


Address

P. O. Box 14726
Dar Es Salaam
0000

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 13:00

Telephone

+255715755555

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chloride Exide Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chloride Exide Tanzania:

Share

Category