Peagas

Peagas Innovative real estate developers and consultants. Waendelezaji wabunifu wa ardhi na nyumba. Peagas pia inatoa huduma kwa ukaribu na wateja wake wote.

Peagas was founded and registered in 2013 with its head office in Dar es Salaam Tanzania. The intention was to establish a reputable company which is to turn into a dominant real estate provider, capitalizing on property market growth in Tanzania. Peagas offers a wide spectrum of professional services and products encompassing real estate. Working with other developers, investors, owners and buyer

s; Peagas ensures that it maximizes returns on all investments, improve operations and ADD VALUE. Peagas also offers a genuinely personalized level of services and products, while at the same time delivering the highest standard of professional real estate service and expertise. With in-depth local market knowledge and experience, the Peagas team provides solutions to all requirements with speed and accuracy. The diversity and pedigree of our client list demonstrates the flexibility and quality of the services and products Peagas provides. Our current aim is to address land and housing needs of the of the middle and lower income earners whom have been traditionally marginalized and ignored by many developers, both private and public. It is in this light, Peagas has designed very responsive services and products. Peagas lilianzishwa na kusajiliwa mwaka 2013 makao makuu yake yakiwa Dar es Salaam. Bodi ya wakurugenzi wa Peagas walikuwa na nia thabiti ya kuanzisha kampuni itakayoheshimika na kuaminika, ikishiriki kikamilifu kwenye ukuaji wa soko la ardhi na nyumba Tanzania. Peagas inatoa huduma na bidhaa mbalimbali za kitaalamu zinazohusu masuala ya ardhi na nyumba. Ikishirikiana na taasisi zingine za ardhi na nyumba, wawekezaji, wamiliki ardhi na wanunuzi; Peagas inahakikisha kwamba washirika wote watanufaika kwa kiwango cha juu na miradi yetu yote ya ardhi na nyumba. Pamoja na uzoefu na ujuzi wa kina wa soko la ndani kwenye sekta hii, timu ya Peagas inatoa ufumbuzi wa mahitaji yote ya wateja wake kwa haraka na usahihi. Lengo kubwa la Peagas kwa sasa ni kushughulikia uhitaji mkubwa wa ardhi na nyumba kwa watanzania wenye vipato vya kati na vya chini ambao kwa muda mrefu wamekuwa wanabaguliwa na wafanyabiashara na mashirika ya ardhi na nyumba. Ni kutokana na haya yote, Peagas imetambulisha huduma na bidhaa hizi ili kukidhi hitaji hilo.

11/06/2019

Miliki Nyumba Bora LEO Dodoma na Peagas - Lipia Kidogo Kidogo.

04/06/2019

Miliki Nyumba LEO Dodoma na Peagas - Lipia Kidogo Kidogo. Wasiliana nasi kupitia namba za simu 0677000804 kwa maelezo zaidi.

KIWANJA KINAUZWA DODOMA KISASA B - CENTREPLOT FOR SALE DODOM KISASA B - CENTREPeagas inayo furaha ya kuwajulisha watanza...
18/11/2017

KIWANJA KINAUZWA DODOMA KISASA B - CENTRE
PLOT FOR SALE DODOM KISASA B - CENTRE

Peagas inayo furaha ya kuwajulisha watanzania wote kuhusu uuzaji wa Kiwanja Na. 61 Kitalu D chenye Hati Miliki safi, Dodoma - Kisasa B Centre. Kiwanja kina ukubwa wa Sqm. 920, kwa matumizi ya makazi na biashara. Kiwanja kipo nyuma ya hoteli maarufu ya St. Gaspar Hotel & Conference Centre. Kiwanja kipo mita 500 pekee kutoka barabara kuu ya kwenda Dar es Salaam. Kiwanja kina kibanda cha mlinzi, msingi wa fensi uliokamilika,na Simtank ya maji ya lita 5,000. Unakaribishwa kutembelea kiwanja hiki wakati wowote. BEI NI TSHS. 35 MILLION PEKEE. Wasiliana nasi LEO kwa kupiga namba za simu 0783000804 / 0677000804 ama tutumie barua pepe (email) [email protected] kwa maelezo zaidi. Karibu na miliki kiwanja makao makuu Dodoma.

Peagas is pleased to announce the sale of Plot No. 61 Block D with clean Title Deed in Dodoma - Kisasa B Centre. The plot is 920 Sqm in size, planned for residential and commercial uses. The plot is located behind a famous hotel St. Gaspar Hotel & Conference Centre. The plot is ONLY 500 metres from the main road Dodoma - Dar es Salaam. The plot has a security guard galvanized sheeted room, a completed fencing wall foundation, and 5,000 Litres Simtank. You are all welcomed to visit the plot at any time. PRICE IS ONLY TSHS. 35 MILLION. Please contact us TODAY through mobile numbers 0783000804 / 0677000804 or email [email protected] for more information. Karibu and own a plot in the Capital City Dodoma.

09/11/2017
VIWANJA VYENYE HATI MILIKI VINAUZWA DODOMAPeagas inayo furaha ya kuwajulisha watanzania wote kuhusu uuzaji wa viwanja vy...
18/10/2017

VIWANJA VYENYE HATI MILIKI VINAUZWA DODOMA

Peagas inayo furaha ya kuwajulisha watanzania wote kuhusu uuzaji wa viwanja vyake vyenye Hati Miliki Mtaa na Kata za Nzuguni, Manispaa ya Halmashauri ya Dodoma. Viwanja vya makazi, biashara, taasisi, na shule vinapatikana. Viwanja vina ukubwa kuanzia mita za mraba 440 mpaka 7,630 na bei nafuu kuanzia Milioni 2.9 pekee. Viwanja vyote vinavutia na tambarare. Eneo hili lipo Kilomita 4 tu kutoka barabara kuu ya Tanroads (Barabara ya Dsm). Viwanja vipo jumla ya Kilomita 10 pekee kutoka Dodoma mjini. Huduma zote muhimu k**a umeme, majii, shule nk. vinapatikana. Viwanja vipo pembezoni mwa makazi ya Nzuguni. Peagas inauza viwanja kwenye eneo hili kwa mfumo wa malipo taslim.

Unakaribishwa kutembelea viwanja hivi wakati wowote. Wasiliana nasi LEO upate fursa hii ya kipekee. Piga namba za simu 0783000804 / 0677000804 ama tutumie barua pepe (email) [email protected] kwa maelezo zaidi. Karibu na miliki kiwanja makao makuu Dodoma.

Kazi za ujenzi wa nyumba zikiendelea Dodoma Mkonze. Wasiliana nasi upate maelezo kuhusu mikopo yenye masharti nafuu sana...
03/10/2017

Kazi za ujenzi wa nyumba zikiendelea Dodoma Mkonze. Wasiliana nasi upate maelezo kuhusu mikopo yenye masharti nafuu sana ya ujenzi na umiliki wa Nyumba zilizo bora Dodoma. Wasiliana nasi kupitia namba za simu 0783 000804 ama barua pepe [email protected].

Construction of quality housing is ongoing in Dodoma Mkonze. Please contact us for more information on affordable construction and housing loans. Contacts us through mobile numbers 0783 000804 or email [email protected].

Own Your Future... Today

Timu ya PEAGAS inapenda kuwapa mkono wa Eid waislam wote. Hii ni siku muhimu sana kwa waislam na kwetu sote kwani inatuk...
26/06/2017

Timu ya PEAGAS inapenda kuwapa mkono wa Eid waislam wote. Hii ni siku muhimu sana kwa waislam na kwetu sote kwani inatukumbusha umuhimu wa upendo.

Ujenzi na Umiliki wa Nyumba kwa Gharama nafuu Dodoma - Unawezekana Sasa. Utapata mpaka miaka mitano kulipia nyumba yako....
09/06/2017

Ujenzi na Umiliki wa Nyumba kwa Gharama nafuu Dodoma - Unawezekana Sasa. Utapata mpaka miaka mitano kulipia nyumba yako. Wasiliana nasi kupitia namba ya simu 0677000804 kwa maelezo zaidi.

Building and Owning affordable Housing in Dodoma is Possible Now. You have up to five years to pay for your home. Contact us for more information through mobile number 0677000804.

08/06/2017
Ujenzi na umiliki wa Nyumba kwa Gharama Nafuu Dodoma unawezekana sasa. Wasiliana nasi upate maelezo kuhusu mikopo yenye ...
22/05/2017

Ujenzi na umiliki wa Nyumba kwa Gharama Nafuu Dodoma unawezekana sasa. Wasiliana nasi upate maelezo kuhusu mikopo yenye masharti nafuu sana ya ujenzi na umiliki wa Nyumba zilizo bora sana Dodoma. Wasiliana nasi kupitia namba za simu 0783 000804 kwa maelezo zaidi.

Own Your Future.. Today

Ujenzi na Umiliki wa Nyumba kwa Gharama nafuu Dodoma - Unawezekana Sasa. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.Building and O...
26/03/2017

Ujenzi na Umiliki wa Nyumba kwa Gharama nafuu Dodoma - Unawezekana Sasa. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Building and Owning affordable Housing in Dodoma is Possible Now. Contact us for more information.

Address

Chief House/Tegeta Kibaoni/Old Bagamoyo Road
Dar Es Salaam
P.O.BOX32121

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00

Telephone

+255222630557

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Peagas posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Peagas:

Share