Ensol (T) LTD

Ensol (T) LTD We help Industries avoid losing their revenue due to power unreliability without deep expenses in fue

10/06/2026

Msimu wa baridi ndo huu , hakuna sababu ya kuwaza maji ya baridi tena!

Ensol tumekuletea Okoa Solar Water Heaters , kiboko ya maji baridi

Furahia maji ya moto wakati wowote bila gharama yoyote na Okoa Solar Water Heater

💧Warranty yake ni ya miaka 5
💧Maji ya moto 24/7
💧Zinatumika sehemu mbalimbali k**a vile majumbani,mahospitalini,mahotelini,mashuleni
💧Zinahifadhi maji ya moto kwa masaa 72
💧Hazishiki kutu
💧Zinapatikana kwa Ujazo wa 200L na 240L

Ongeza thamani ya biashara na nyumba yako na OKOA Solar water Heaters🌞🚿

Lipa mara moja tuu na ufurahie maji ya moto kwa muda mrefu

Wasiliana nasi: +255 677 109 522



08/06/2026

Wiki mpya!
​​Onyesha Upendo: Nunua taa za KEPLA na zifunge kwenye nyumba ya wazazi au wapendwa wako,kuwapa amani ya moyo hata ukiwa mbali.

​Ulinzi Thabiti -inamulika kila kona ya giza, kuzuia wezi na watu wenye nia mbaya kabla hawajafanya madhara!

​Usisubiri madhara yatokee ndio uchukue hatua. Kinga ni bora kuliko kurekebisha yaliyoharibika.
​📞 Wasiliana nasi sasa +255 677 109 521/2
📌 Tunapatikana: Mikocheni A,Mwenda Road nyumba na. 14,Dar es Salaam




World Environment Day 2026: A Global Call for Climate ActionThe planet doesn’t argue. It doesn’t negotiate. It sends sig...
05/06/2026

World Environment Day 2026: A Global Call for Climate Action
The planet doesn’t argue. It doesn’t negotiate. It sends signals—rising seas, raging wildfires, heatwaves, and melting glaciers.

We said 1.5°C was the limit. We are crossing it.

For decades, the world has heard the climate story—warnings, targets, and distant deadlines. Too often, the response has been clouded by noise: delay, distraction, and denial.

But listen closer now. Beneath the noise, another signal is rising. Solar panels stretch across rooftops. Wind turbines line the horizon. Cities are being redesigned for people. Forests are being replanted. Climate solutions are taking root in every corner of the planet.

See how you can get involved.



Why pay more for electricity? ✅️Pay less than your current bill.✅️Own your energy source.✅️Boost your property ROI.Make ...
04/06/2026

Why pay more for electricity?

✅️Pay less than your current bill.
✅️Own your energy source.
✅️Boost your property ROI.

Make the switch today, and start saving
Contact us for your customized solution
Call/WhatsApp +255 766 694 413



Mawingu nje, joto ndani! ☁️➡️🔥Ukiwa na Okoa Solar Water Heater, huna haja ya kusubiri jua kali. Pata maji ya moto ya uha...
02/06/2026

Mawingu nje, joto ndani! ☁️➡️🔥
Ukiwa na Okoa Solar Water Heater, huna haja ya kusubiri jua kali. Pata maji ya moto ya uhakika kwa gharama nafuu, kila siku, bila kujali hali ya hewa.
Furahia maji ya moto wakati wowote na Okoa Solar Water Heater🌞🚿

💧Na Warranty yake ni ya miaka 5
💧Maji ya moto 24/7
💧Zinatumika sehemu mbalimbali k**a vile majumbani,mahospitalini,mahotelini,mashuleni
💧Zinahifadhi maji ya moto kwa masaa 72
💧Hazishiki kutu
💧Plate type non-pressurized 200L ni 1,800,000tsh
💧Tube type non-pressurized 240L ni 1,500,000tsh

Chagua suluhisho sahihi
Chagua Okoa Solar Water Heater 🌞😶‍🌫️🛁

Lipa mara moja tu na ufurahie maji ya moto kwa muda mrefu

Wasiliana nasi: +255 677 109 522/1



Wiki imeanza, usiwaze kuhusu usalama wa duka, ofisi, au nyumbani kwako kukiwa na giza. ​Linda unachokipambania! 🎯KEPLA S...
01/06/2026

Wiki imeanza, usiwaze kuhusu usalama wa duka, ofisi, au nyumbani kwako kukiwa na giza.
​Linda unachokipambania! 🎯KEPLA Solar Security Lights ni taa zenye mwanga mkali, imara na zinazotumia umeme wa jua bure na ni rahisi kuzifunga!
📱 Tupigie / WhatsApp hapa kujua bei na ofa zilizopo: +255 677 109 521/2
Wahi sasa🏃🏽‍♀️🏃🏾🏃🏾‍♂️



🏡 ​Meet the KEPLA Solar Security Lights-your home’s new best friend. Powered entirely by the sun, these lights deliver u...
28/05/2026

🏡 ​Meet the KEPLA Solar Security Lights-your home’s new best friend. Powered entirely by the sun, these lights deliver ultra-bright, automatic sensor-activated security without adding a single cent to your electricity bill. ☀️
●​Zero wiring (install in minutes) ​🛠️DIY Setup: No electricians, no messy wires. Just screw it in and you're good to go.
●​Weatherproof (built to handle all the elements)
●​Automatic sensor-activated (instant peace of mind no need to switch on/off)
◇​Don't wait for a reason to secure your home.
​Secure your perimeter, illuminate your driveway, and protect what matters most today and let the sun do the heavy lifting. 💪✨
Call/WhatsApp 📲+255 677 109 521/2



✨ Kutoka kwetu Ensol, tunakutakia wewe na familia yako kheri, amani na baraka tele katika sikukuu hii ya Eid al-Adha. Ei...
26/05/2026

✨ Kutoka kwetu Ensol, tunakutakia wewe na familia yako kheri, amani na baraka tele katika sikukuu hii ya Eid al-Adha. Eid Mubarak! 🕋✨




Yesterday, Ensol (T) Limited & Huawei brought together healthcare leaders, NGOs, and Energy stakeholders for an impactfu...
23/05/2026

Yesterday, Ensol (T) Limited & Huawei brought together healthcare leaders, NGOs, and Energy stakeholders for an impactful workshop on Solar Energy for Healthcare Resilience.
​A special thank you to our Guest of Honor, Dr. Shimwela, for his invaluable insights.Reliable power supply isn't just a convenience in healthcare,it saves lives.
​ A site visit to The Aga Khan Hospital to tour the massive 1.3MW Solar Plant installed by Ensol, showcasing real-world sustainability in action.
​We appreciate and also thank the CEO of Aga Khan Hospital and his team for accepting the site visit.





Upgrade your premises security with KEPLA Solar Light! ☀️💡Stand-Alone (No Grid Power!)Protection Against Thieves & Hazar...
14/05/2026

Upgrade your premises security with KEPLA Solar Light! ☀️💡
Stand-Alone (No Grid Power!)
Protection Against Thieves & Hazards 🚨
Cost-Effective & Eco-Friendly 🌱
Easy to Install DIY
Get yours today!
Contact 📲+255 677 109 521



Address

House No. 14, Mwenda Road, Mikocheni A
Dar Es Salaam
14112

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00
Saturday 08:30 - 13:00

Telephone

+255744985370

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ensol (T) LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ensol (T) LTD:

Share