Thebridgegulio

Thebridgegulio Tupo DSM Sinza Mori, mtaa wa nyuma ya Delina Apartment . Agiza kutoka China/Nunua dukani DSM: WhatsApp : +255715316614
Tufollow Insta

Wakulima wenzetu huko kwenu mahindi sasa yapo stage gani?Tukiwa tunajiandaa na msimu wa mavuno.......Tayari tumewaletea ...
12/05/2026

Wakulima wenzetu huko kwenu mahindi sasa yapo stage gani?Tukiwa tunajiandaa na msimu wa mavuno.......Tayari tumewaletea mashine hizi za kupukuchua mahindi, bei ni 1,350,000 tu. Mashine ina uwezo wa kupukuchua zaidi ya Tani 1 kwa saa 1 (Kilo 1200 kwa saa).

Mashine ni ya mafuta ya PETROL popote ulipo unaweza kuitumia.Tunapatikana Sinza Mori jirani na Delina Apartment, namba zetu za simu/Whatsapp: 0715 316 614. Ukihitaji kusafirishiwa ulipo tunaweza kukutumia.

Mashine hizi ni kubwa  maalum za kufunga/kubana mifuko ya plastic, karatasi ngumu na mifuko mbalimbali.  Mashine zipo du...
11/05/2026

Mashine hizi ni kubwa maalum za kufunga/kubana mifuko ya plastic, karatasi ngumu na mifuko mbalimbali. Mashine zipo dukani tayari bei 1,150,000/=.

Tupo Sinza Mori jirani na Delina Appartment, tunatuma mzigo popote ulipo. Simu/Whatsapp 0715316614.

11/05/2026

Mashine kubwa za kufunga/kubana mifuko ya plastic, karatasi ngumu na mifuko mbalimbali. Mashine zipo dukani tayari bei 1,150,000/=.

Tupo Sinza Mori jirani na Delina Appartment, tunatuma mzigo popote ulipo. Simu/Whatsapp 0715316614.

11/05/2026

Tunazo mashine kubwa za kufunga/kubana mifuko ya plastic, karatasi ngumu na mifuko mbalimbali. Mashine zipo dukani tayari bei 1,150,000/=.

Tupo Sinza Mori jirani na Delina Appartment, tunatuma mzigo popote ulipo. Simu/Whatsapp 0715316614.

Habari wajasiriamali.....kwa wanaofunga viungo mbalimbali, ubuyu, karanga, ice cream n k ACHANA NA KIBATARI Mashine itak...
11/05/2026

Habari wajasiriamali.....kwa wanaofunga viungo mbalimbali, ubuyu, karanga, ice cream n k ACHANA NA KIBATARI Mashine itakupunguzia pirika nyingi na bidhaa yako itakuwa smart!

Tunazo dukani plastic sealer maalum kwa kufungia vifungashio aina mbalimbali. Bei inatofautiana kwa kuzingatia size ya mashine, Tulinazo dukani sasa ni :-

10cm BEI: 35,000/=
20cm BEI: 65,000/=
30cm BEI: 90,000/=
40cm BEI: 115,000/=
Tunazo pia kubwa (Continuous Sealer 1,150,000/=)

Tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment, Simu/Whatsapp: 0715 316 614. Mzigo upo dukani na popote tunatuma

11/05/2026

Wajasiriamali wanaofunga viungo, ubuyu, karanga, ice cream n k ACHANA NA KIBATARI Mashine itakupunguzia pirika nyingi na bidhaa yako itakuwa smart!

Tunazo dukani plastic sealer maalum kwa kufungia vifungashio aina mbalimbali. Bei inatofautiana kwa kuzingatia size ya mashine, Tulinazo dukani sasa ni :-

10cm BEI: 35,000/=
20cm BEI: 65,000/=
30cm BEI: 90,000/=
40cm BEI: 115,000/=
Tunazo pia kubwa (Continuous Sealer 1,150,000/=)

Tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment, Simu/Whatsapp: 0715 316 614. Mzigo upo dukani na popote tunatuma

45,000/= (SETI YOTE). Wapendwa wateja, tunazo dukani tayari, dryer za nywele set yote ya vitu k**a vinavyoonekana kwenye...
09/05/2026

45,000/= (SETI YOTE). Wapendwa wateja, tunazo dukani tayari, dryer za nywele set yote ya vitu k**a vinavyoonekana kwenye picha, bei ni 45,000/= tu.

Unapata hair dryer yenyewe, pasi yake ya umeme, kifaa cha kutengenezea mawimbi,vitana vyake tofauti vya kuchania pamoja na seti ya kutengeneza kucha.

Tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment. Tupigie simu/Whatsapp 0715 316 614.

pasiyanywele tuagize Tuagizeltd

Zipo dukani tayari mashine hizi za kupima pressure, bei yake ni 59,000/= tu.Inahifadhi kumbukumbu na inatoa sauti kukuam...
09/05/2026

Zipo dukani tayari mashine hizi za kupima pressure, bei yake ni 59,000/= tu.Inahifadhi kumbukumbu na inatoa sauti kukuambia k**a pressure yako ipo sawa,juu au chini.

Mashine ya pressure ni muhimu sana kuwa nayo ndani, kwa wale wenye wazee wetu wanaosumbuliwa na pressure tuwachukulie hizi mashine, wamama wajawazito pia sio kupima pressure hadi siku ya clinic, changamoto za pressure nyingi sana sasa, nunua weka ndani uwe una jimonitor mwenyewe nyumbani, sio unasubiri hadi inakuzidia ghafla bin vuu🙂

Tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment. Namba ya simu/Whatsapp: 0715 316 614.

08/05/2026

PREORDER: Mashine ya umeme ya kukatakata na kusaga mbogamboga, kusaga kisamvu, vitunguu swaumu, samaki, nyama (steak), karoti, hoho, tangawizi, pilipili mbichi, viazi na kadhalika.

Unaiseti kutokana na uhitaji wako wewe(Kusaga au kukata). Inafaa hasa kwa biashara ukitaka pia kwa matumizi ya nyumbani.

BEI ni TSH 495,000 tu! Inatumia umeme mdogo 400W wa majumbani (220V). Uwezo 40-60kg. Tunaleta kwa ODA kutoka China, Oda ni siku 45 hadi 60. Simu/Whatsapp 0715 316 614. Tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0715316614

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Thebridgegulio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share