12/06/2026
BLOCK; Ndyo msingi mkuu wa engne, hubeba piston na kuhakikisha engne inafanya kazi kwa nguvu na uimara.
Block ikihalbika engne hupoteza nguvu ghafla huanza kutoa moshi pia kuonekana nyufa kwenye block
CRANKSHAFT;Hubadilisha mwendo wa piston kuwa nguvu ya kuendesha engne.
Ikihalbika engne huanza kutoa sauti zisizo za kawaida usipowahi bajaji huwa inazima ghafla na haiwaki tena.
CYLINDERHEAD; hudhibiti muwako wa mafuta na hewa ili engne ipate nguvu na kufanya kazi kwa ufanisi. Muhimu kwa nguvu,ufanisi na utendaji bora wa engne yako.
Ikianza kuhalibika engne hupoteza nguvu na kuanza kutoa moshi pia engne hupata joto kupita kiasi.
CONROD/MKONO;Huunganisha piston na crankshaft na kusaidia kuhamisha nguvu ndani ya engne kwa ufanisi.
Mkono ukianza kuhalibika husababisha kupungua kwa nguvu ya engne na engne huzima ghafla
📍Tupo Ubungo kibo mataa DSM
🚚Derivery mikoa yote
📞/whatsap:0757843570