Des-Mo & Co Solutions

Des-Mo & Co Solutions We are the best for Construction,Designing,Repairing & Services
We care about your feelings,expectations & Customer needs.

01/02/2019
TUMEKUFIKIA ILI KUKUPENDESHEA NA KUKUIMARISHIA KWA VIWANGO VINAVYOTAKIKANA NA VINAVYOKWENDA NA WAKATI.Sisi ni mabingwa w...
15/09/2018

TUMEKUFIKIA ILI KUKUPENDESHEA NA KUKUIMARISHIA KWA VIWANGO VINAVYOTAKIKANA NA VINAVYOKWENDA NA WAKATI.

Sisi ni mabingwa wa ujenzi hapa Africa,
1) Tunajenga Nyumba na tuna design pia
2) Tunajenga Swimming pool ( bwawa la kuogelea)
3) Tunasafisha na tunatoa mafunzo ya kuweka Swimming pool yako nadhifu na yakuvutia
4) Tunaezeka nyumba kwa kutumia vigae na tunasafisha vigae vya paa lako hata vikiwa vimechakaa kiasi gani tutavirusisha kwenye upya wake
5) Tunapaka rangi nyumba mpya ama zinazotaka kubadilishwa rangi
6) Tunaziba tank za maji
7) Tunaweka na kusafisha Tanga stone hata ziwe chakavu kiasi gani zitarudi kua mpya kabisa.
8) Tunajenga, Design na Kukarabati Parking za magari zenye kivuli
9) Tunafunga umeme wa jua (Solor system installation)
10 Tunajenga na kutengeneza mfumo wa majiko yanayotumia Gesi.
Kwenye mahoteli ama nyumbani
11) Sisi ni mabingwa namba moja wa kutengeneza Cold rooom hapa nchini.

VILE VILE TUNATOA USHAURI WA BURE KWA WATEJA WETU AMBAO WANATAKA KUHUDUMIA SABABU MAFUNDI WETU NI WATAALAM NA WALIOBOBEA KWENY FANI YA UJENZI

Wasiliana nasi kwa nambari +255713247575 Dar es salaam
+255777007404 Zanzima
Barua Pepe. [email protected]

Kumbuka tunapatikana popote ulipo ndani na nje ya Tanzania.

Karibu tukuhudumie.

WE ARE THE SOLUTIONBest and the choice number one for   &   Solutions and we guarantee you thats won't have that problem...
12/09/2018

WE ARE THE SOLUTION

Best and the choice number one for & Solutions and we guarantee you thats won't have that problem again after our highest level of our treatments.

We're just here near by your door and we can reach you whatever you are in Tanzania or out of Tanzania.

We care about your feelings and your expectations
Contact us by call or whatsApp +255713247575
Mail [email protected]

Most welcome

KARIBU TUKUHUDUMIENi mabingwa wa Ku design na kujenga nyumba zenye ubora na za kisasa zaidi. Huduma zetu ni nzuri na tun...
30/08/2018

KARIBU TUKUHUDUMIE

Ni mabingwa wa Ku design na kujenga nyumba zenye ubora na za kisasa zaidi. Huduma zetu ni nzuri na tunatoa Kwa wateja wetu.!
Wasiliana nasi Kwa simu ama whatsApp +255713247575
Tunapatikana Nje na Ndani ya Tanzania

Karibu sana

We are the best   constructor and Designer.Best   of   3D or 4D most welcome.Contact us call and WhatsApp +255713247575 ...
10/06/2018

We are the best constructor and Designer.

Best of 3D or 4D most welcome.

Contact us call and WhatsApp +255713247575 or mail [email protected]

We are everywhere.

  Ukiwa unapenda kizuri lazima utajuwa thamani yake..!Na sisi tunakupenda wewe mteja wetu ndio maana tunajua dhamani yak...
10/06/2018

Ukiwa unapenda kizuri lazima utajuwa thamani yake..!
Na sisi tunakupenda wewe mteja wetu ndio maana tunajua dhamani yako kwetu.

Sasa tumekuletea hii na ya zaidi inayokwenda na wakati
Des-Mo & Co Solution tunakuletea hii ya kisasa yenye kuanzia sakafu mpaka juu ya kuta zake.

Hii ni mpya na ya kisasa zaidi bei zetu zinaendana na uchumi wa Taifa letu.

Wasiliana nasi kwa namba +255713247575 ama barua pepe [email protected] kwa huduma nzuri na ya uhakika.

Popote ulipo tupo.

SULUHISHO! Sisi ni mabingwa Nchi nzima wa kuweka na kusafisha vigae vya nyumba, ikiwa vigae vya nyumba yako vimechakaa n...
23/05/2018

SULUHISHO! Sisi ni mabingwa Nchi nzima wa kuweka na kusafisha vigae vya nyumba, ikiwa vigae vya nyumba yako vimechakaa na unahitaji nyumba yako iwe na muonekano nadhifu usinunue vigae vyengine sisi tupo kwaajili yako.

Tutagharisha vigae vyako na kurudi k**a vipya kabisa na muonekano mpya tena wakupendeza.
Bei zetu ni nzuri zinazoendana na uchumi wa Taifa letu tutakufikia popote ulipo nchini ama nje ya nchi.

Wasiliana nasi kwa simu +255713247575 Dar es salaam ama
+255777007404 Zanzibar
Barua pepe. [email protected]

KARIBUNI SANA.

Ukiwa umesumbuka muda mrefu kutafuta wataalamu wa kuweka na kusafisha TANGA STONE sasa umepata suluhisho tupo kwaajili y...
23/05/2018

Ukiwa umesumbuka muda mrefu kutafuta wataalamu wa kuweka na kusafisha TANGA STONE sasa umepata suluhisho tupo kwaajili yako tunamafundi na wataalamu wa kuweka TANGA STONE na kusafisha zikarudi kua mpya kabisa zanye kuvutia na kupendeza na pia tunatoa ushauri wa bure kwa kila huduma tunayotoa jinsi ya kutunza daima zionekane nadhifu.
Wasiliana nasi kwa simu: +255713247575 Dar es salaam ama
+255777007404 Zanzibar
Barua pepe:. [email protected]

KARIBUNI SANA.

Waaaooo! Tupo kwaajili yako na kuhakikisha tunakutengenezea zaidi ya pale ulipofikiria, tunamafundi wenye viwango vya ki...
23/05/2018

Waaaooo! Tupo kwaajili yako na kuhakikisha tunakutengenezea zaidi ya pale ulipofikiria, tunamafundi wenye viwango vya kimataifa.

Tuna fanya installation ya Solar heater system, House renovations tunaweka tiles & pavings sisi ni suluhisho la matatizo yote ya kiufundi.

Bei zetu ni nzuri zinazoendana na hali ya uchumi wa nchi yetu.
Wasiliana nasi kwa simu: +255713247575 Dar es salaam ama
+255777007404 Zanzibar
Barua pepe. [email protected]

Karibuni sana.

Kizuri daima huwa machoni kwa mtu   daima hupenda kuona wateja wetu wanaridhika kwa uzuri na umadhubuti wa kile anachoki...
22/05/2018

Kizuri daima huwa machoni kwa mtu daima hupenda kuona wateja wetu wanaridhika kwa uzuri na umadhubuti wa kile anachokihitaji.
K**a unataka kutengenezewa kitu kizuri k**a hiki basi umepata suluhisho sisi ni mabingwa Tanzania nzima na bei zetu ni nafuu ambayo inaendana na uchumi wetu.
Wasiliana nasi na kwa simu +255713247575 Dar es salamu ama
+255777007404 Zanzibar
Barua pepe. [email protected]

KARIBUNI SANA.

Address

TEGETA/BAGAMOYO RAOD/NABAKI AFRIKA HOUSE
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Des-Mo & Co Solutions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share