19/05/2026
Assalam alaykum,
Kwa wale watu wa mbao, Kuna hii mashine ya kuchana mbao Toka Finland. Iko ofisini Bei sawa na Bure.
Ni HP 7.5, umeme inatumia 3phase.
Kwa walio interested karibu sana. IPO moja, ni og standard ya ya gavoo.
Kwa kazi zetu za chuma milango, madirisha nk Bado tunaendelea.
Karibu ofisini au tupigie 0652102806 au 0757818388.