AfriSmart Technologies

AfriSmart Technologies Leading software engineering company offering innovative software solutions and comprehensive ICT services to businesses and individuals in Africa.

We Wish You, Happy
01/05/2024

We Wish You, Happy

Afrismart  wishes You.. happy Muungano Day
26/04/2024

Afrismart wishes You.. happy Muungano Day

25/04/2024

19/04/2024
KARIBU AFRISMART TECHNOLOGIES COMPANY LIMITED,Ofisi zetu zinapatikana   Mawasiliano, Dar es salaam, Pia Tunamfikia mteja...
17/04/2024

KARIBU AFRISMART TECHNOLOGIES COMPANY LIMITED,Ofisi zetu zinapatikana Mawasiliano, Dar es salaam, Pia Tunamfikia mteja mahali popote pale alipo Tanzania,na hata Zambia ndani ya dakika 30.
📲:+255752073144/

Hello Monday... Track with us.. and Be Happy.
15/04/2024

Hello Monday...
Track with us.. and Be Happy.

Tunawatakia Heri ya Sikukuu ya Eid
10/04/2024

Tunawatakia Heri ya Sikukuu ya Eid

Happy Karume Day
07/04/2024

Happy Karume Day

Overspeed Alert>Reduce fuel Consumption>Real-time Alert>Reduce Risks and Expenses
05/04/2024

Overspeed Alert
>Reduce fuel Consumption
>Real-time Alert
>Reduce Risks and Expenses

Happy Easter from us       call/WhatsApp: +255752073144
31/03/2024

Happy Easter from us

call/WhatsApp: +255752073144

KWANINI UIBIWE GARI,BAJAJI au PIKIPIKI YAKO?:Sasa usiwe na hofu tena. Karibu tukufungie   zenye ubora wa hali ya juu ten...
07/03/2024

KWANINI UIBIWE GARI,BAJAJI au PIKIPIKI YAKO?
:

Sasa usiwe na hofu tena. Karibu tukufungie zenye ubora wa hali ya juu tena kwa gharama nafuu kabisa na uweze kujua yafuatayo:-
:

1.Gari,Pikipiki au bajaj ipo wapi muda wote.
2.Inatembea au imepaki na ni kwa muda gani.
3.Dereva aweze kufanya kazi kwa muda mliopangiana tu.
3.Gari,Pikipiki au bajaj isitoke nje ya mkoa au sehemu yoyote ambayo hupendi ifike,
4.Utaweza kuzima gari,pikipiki,bajaji yako ukiwa popote pale kwa simu yako ya mkononi.
5.Fahamu route zote anazozifanya kila siku.
6.Pia utaweza kufahamu mwenendo mzima wa gari,pikipiki au bajaj yako hivyo kukurahisishia kujua muda sahihi wa kufanya matengenezo(Service) ya gari,pikipiki au bajaji yako hatimaye kukupunguzia gharama. Na mengine mengi
______________________________________________

GPS TRACKER DEVICE FUNCTIONS:
🛰 Remote oil and Electricity Cut
🛰 Real Time Tracking by SMS/GPRS
🛰 Real Time Voice monitoring
🛰 Emergency alarm button . 🛰
Main Power Off Alarm
🛰 Over Speed Alarm
🛰 Geographical Fencing .
🛰 Engine start Alarm .

_____________________________________________
KARIBU AFRISMART TECHNOLOGIES COMPANY LIMITED,Ofisi zetu zinapatikana Mawasiliano, Dar es salaam, Pia Tunamfikia mteja mahali popote pale alipo Tanzania,na hata Zambia ndani ya dakika 30.
📲:+255752073144/255710073144

PRICE

LOCAL:TZS 20,000 (8 USD)
TRANSIT:TZS 30,000 (12 USD)

GPS CAR TRACKING:Je umekuwa na wasiwasi na hofu juu ya usalama wa magari yako,pia kuzungushwa na madereva wa magari yako...
27/02/2024

GPS CAR TRACKING
:
Je umekuwa na wasiwasi na hofu juu ya usalama wa magari yako,pia kuzungushwa na madereva wa magari yako au bajaj zinazofanya Biashara za ?.
:

Je usalama wa madera wako ni wa uhakika kiasi gani kwa sababu wengi wanatekwa na waporaji au kupotea kabisa na kuziacha familia zao katika tabu?
:

Sasa usiwe na hofu tena. Karibu tukufungie zenye ubora wa hali ya juu tena kwa gharama nafuu kabisa na uweze kujua yafuatayo:-
:

1.Gari au bajaj ipo wapi muda wote.
2.Dereva aweze kufanya kazi kwa muda mliopangiana tu.
3. Gari au bajaj isitoke nje ya mkoa au sehemu yoyote ambayo hupendi gari ifike,
4.Utaweza kuzima gari yako ukiwa popote pale kwa simu yako ya mkononi.
5.Fahamu route zote anazozifanya kila siku.
6.Pia utaweza kufahamu mwenendo mzima wa gari au bajaj yako hivyo kukurahisishia kujua muda sahihi wa kufanya matengenezo(Service) ya gari yako hatimaye kukupunguzia gharama. Na mengine mengi

Sasa tunaweza kuzuia ajali zinazo sababishwa na mwendokasi (HIGH SPEED) na kuhakikisha watoto wetu wanakuwa salama kabis...
19/02/2024

Sasa tunaweza kuzuia ajali zinazo sababishwa na mwendokasi (HIGH SPEED) na kuhakikisha watoto wetu wanakuwa salama kabisa.
:
Kwa kufunga GPS CAR TRACKING kutoka kwetu AFRISMART TECHNOLOGIES,tunafanya yafuatayo ili uweze kudhibiti au kuzuia kabisa:
1.Speed ambayo chombo chako kinatembea muda wote na kuweza kudhibiti speed kubwa.
2.Umbali ambao chombo chako kimetembea (km)
3.Utaweza kupata taarifa pindi tu chombo chako kinapowashwa
4.Utaweza kuwekea uzio chombo chako kisitoke nje ya sehemu unayotaka.
5.Utaweza kuzima chombo chako kwa SIMU yako ya mkononi ukiwa mahali popote pale.

Hayo na mengine wasiliana nasi ili uweze kufahamu zaidi au tembelea katika ofisi zetu zinazopatikana Ubungo, Mawasiliano. kwa Mikoani tunakufanikishia mteja wetu kwa muda mfupi tu, maana tuna mafundi wetu waliopo Nchi Nzima.
Au wasiliana nasi kwa namba za simu/email
+255752073144
[email protected]

Remember...
17/02/2024

Remember...

Happy Valentine's Day from Us
14/02/2024

Happy Valentine's Day from Us

Address

Ubungo, P. O Box
Dar Es Salaam
25032

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AfriSmart Technologies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AfriSmart Technologies:

Share