Trends Solar Lights - DSM TZ

Trends Solar Lights - DSM TZ We are importers of Solar Lights & Modern CCTV. We have the lowest prices in Tanzania & Wide variety

27/05/2026
27/05/2026

Ni taa inayotumia nguvu ya jua na ndani yake kuna camera ya usalama (CCTV) kwa ajili ya mwanga na ulinzi kwa wakati mmoja. Inafanya kazi bila umeme wa TANESCO kwa sababu inachajiwa na solar panel.

Matumizi yake
Kulinda nyumba, ofisi, godown na mashamba

Kuangaza eneo usiku

Kufuatilia wageni au matukio kupitia simu

Inafaa maeneo yasiyo na umeme au yenye kukatika mara kwa mara

Faida zake
Haina gharama kubwa ya umeme

Inafanya kazi mchana na usiku

Camera inaweza kurekodi video na picha

Baadhi zina uwezo wa kuona usiku (night vision)

Ina motion sensor — ikiona mtu taa huwaka zaidi na camera kurekodi

Inaunganishwa na simu kupitia Wi-Fi au App

Rahisi kufunga ukutani au kwenye nguzo

Jinsi Inavyofanya Kazi
Solar panel hukusanya mwanga wa jua mchana

Betri huhifadhi umeme

Usiku taa huwaka automatically

Camera hurekodi muda wote au ikiona movement

Unaweza kuona live kupitia simu

11/03/2026
23/02/2026

Tumepunguza mbei kutoka Tshs 250,000 hadi Tshs 175,000.

Taa ya solar unafunga ukutani,fence & garden., ina sensor.., pia ni k**a ulinzi zinasensi mtu akikatiza au mnyama akikatiza zinaongeza mwanga..,pia unaweza iseti iwake tu mtu akisogelea eneo ulipofunga ina sensi umbali mita 8 had 10. 📞 0750 662 565. Bei 175,000 Tshs
Taa ya solar nzuri kabisa inatumia mwanga wa jua, taa hii unaweka nje ya ukumbi,uwanja wako. Nunua sasa upendezeshe uwanja wako

Bei 175,000
Tupigie 0750 662 565. Tutembelee Arusha town, karibu na mnara wa mwenge, njia ya kwenda central police mtaa wa pangani. Tunatazamana na kaloleni hospitali

04/02/2026

THE CHEAPEST IN TOWN BEI KITONGA NDO HAPA
Tupo ARUSHA maeneo ya MNARA WA MWENGE MKABALA NA HOSPITAL YA KALOLENI.
Wasiliana nasi kupitia namba ya simu 0750662565 pia tembelea website zetu uone aina mbalimbali za taa na Bei zake

Tuna aina za taa za solar za
1.Garden, zinazoweza kuipa garden yako muonekano wa kipekee na zinazowaka white light,warm lights,(wa njano) pamoja na green light (kijani). Usisahau zinawaka zenyewe na kuzima zenyewe na kudumu mpka asubh.
2.Taa za kufunga nje kwenye Kuta za nyumba, mabarabarani, kwenye viwanja, maeneo ya nje uwanja wa nyumba,porini,kwenye maegesho ya magari na yards pamoja na kwenye maeneo ya kufugia n.k
3.Tuna aina za street lights pamoja na floods lights.
4. Pia tunazo solar pampu Kwa Bei nzuri.
Zote unapata Kwa Bei nzuri kabisaaa.

12/01/2026

Taa ya solar ya 200 watts kwa BEI YA CHINI SANA KWA SOKO. THE LOWEST PRICE IN THE MARKET. LOW PRICE GUARANTEE! Tel +255750662565

Tumepunguza bei kutoka Tshs 250,000 mpaka 150,000. Pata watts 100 Kwa 95,000 na 300 yake Kwa 190,000.Ofa inaendelea kwa siku mbili tu

Taa hii ina 300 watts, imara inadumu muda mrefu na yenye mwanga wa kuleta ulinzi wa kutosha nyakati za usiku ni automatic inawaka na kuzima yenyewe jioni na asubuhi inafaa kwa matumizi mbalimbali k**a

-kwenye fence nyumbani, gate au ndani ya ukuta unaweza iweka kwa units ama bomba ndefu
-Maeneo ya wazi makubwa na madogo
-Shambani
-Boma,Zizi la ng,ombe,mbuzi,Kondoo
-Godown(Ghala)
-Mashuleni
-Sehemu za biashara k**a super market
-Barabara ndo go za mtaani
-Stand za mabus
-Maegesho ya magari(car parking)
-Mahospitalini
-Viwandani
wasiliana nasi kwa +255750662565

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Trends Solar Lights - DSM TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category