13/05/2026
Spesho kwa watumiaji wa Baridi Baridi AC!
Kwa Wateja wetu wa Kukodisha (subscription) na Kulipa kidogo kidogo (installation) au malipo ya mara moja (Cash).
Rafiki yako akifunga Baridi Baridi AC utapokea ZAWADI utakayoweza itumia kwenye malipo yako ya mwezi!
Kwa maelezo zaidi
Tupigie 0750 011 370
WhatsApp 0768 300 290