15/08/2024
call 0765748135 au WhatsApp 0765748135
SIFA ZA ZEGE KUTOKA KWENYE KAMPUNI YA JUYE DAR ES SALAAM.
Zege yetu inazingatia ubora na kiwango anachohitaji mteja.
Tunayo magari ya mixer kwa ajili ya kusambaza zege sites zote.
Tunazo pump kwa ajili ya kumwaga zege kwenye floor za magorofa.
Tunazingatia ubora wa Cement, pia tunao surveyor kwa ajili ya kukagua site kabla ya kazi kuanza.