Reliance Group Ltd

Reliance Group Ltd Reliance Group Ltd is a legit company registered in Tanzania majored in Construction, Logistics and Agriculture industry.

We are also the sole distributor of Sonalika tractors in Tanzania.

Tukiwa ndani ya mwezi Mtukufu wa Ramadan, Tunapenda kuwatakia Wateja wetu na waumini wote wa dini ya kiislamu MFUNGO MWE...
04/03/2025

Tukiwa ndani ya mwezi Mtukufu wa Ramadan, Tunapenda kuwatakia Wateja wetu na waumini wote wa dini ya kiislamu MFUNGO MWEMA.

Betri ni kifaa muhimu sana kwenye Trekta, kwani hutumika kuwasha injini, taa pamoja na vifaa vingine vinavyohitaji umeme...
03/02/2025

Betri ni kifaa muhimu sana kwenye Trekta, kwani hutumika kuwasha injini, taa pamoja na vifaa vingine vinavyohitaji umeme.

Betri zinakuja kwa uwezo tofauti wa kutoa umeme. Zingatia unaponunua betri hakikisha unasoma na kufuata maelekezo ya mzalishaji ili betri yako iwe na maisha marefu. Tunza chaji ya betri ya trekta kwa kuhakikisha unazima vifaa vyote vinavyotumia umeme wa betri mara tu baada ya kazi. Ikiwa betri inakusumbua sana kwa kupoteza chaji mara kwa mara waone wataalamu wakupatie ushauri na suluhisho mbadala ili kufanya kazi zako kwa ufanisi shambani.

Ni matumaini yetu umejifunza kitu leo. Karibu sana ofisini kwa mahitaji ya Trekta imara za Sonalika pamoja na viunganishi vyake. Wasiliana nasi kwenda namba 0762 444 330 au tuma barua pepe kwenda [email protected].



Tunawatakia Maadhimisho mema ya miaka 61 ya MAPINDUZI ZANZIBAR.
12/01/2025

Tunawatakia Maadhimisho mema ya miaka 61 ya MAPINDUZI ZANZIBAR.




Daima Kila MWISHO ni MWANZO mpya. Tunakutakia wewe na familia yako HERI ya MWAKA MPYA na MAFANIKIO Makubwa 2025. ✨✨
31/12/2024

Daima Kila MWISHO ni MWANZO mpya. Tunakutakia wewe na familia yako HERI ya MWAKA MPYA na MAFANIKIO Makubwa 2025. ✨✨




Tunapenda kuwatakia wateja na wadau wetu HERI ya SIKUKUU ya CHRISTMAS 🎄🎄.
25/12/2024

Tunapenda kuwatakia wateja na wadau wetu HERI ya SIKUKUU ya CHRISTMAS 🎄🎄.




OFA kubwa mwisho wa Mwaka kwako wewe Mkulima. PATA TREKTA  MPYA AINA YA SONALIKA NDANI YA WIKI MOJA TU KWA MKOPO KUPITIA...
16/12/2024

OFA kubwa mwisho wa Mwaka kwako wewe Mkulima. PATA TREKTA MPYA AINA YA SONALIKA NDANI YA WIKI MOJA TU KWA MKOPO KUPITIA "EFTA" UPATE PUNGUZO KUBWA LA BEI. Punguzo hili ni la Maalumu kwa siku 30 pekee kuanzia 16/12/2024.
Tumerahisisha sehemu ya ndoto zako za Kilimo kupitia ushirika na wawezeshaji wa zana za kilimo (EFTA) kwa masharti nafuu kabisa. Tunazo Trekta za Sonalika zenye injini kuanzia 18HP, 26HP, 45HP, 50HP, 55HP, 60HP, 75HP, 90HP, 110HP mpaka 125HP. Fursa hii si yakukosa.
Mawasiliano: Fika ofisini kwetu au tawi lililo karibu nawe au piga simu kwenda namba, 0762 444 330 au 0677 073 353 au tuma barua pepe kwenda [email protected]. Pia unaweza wasiliana na EFTA kwa namba 0765417387 kwa maelezo zaidi.



Tunapenda kuwatakia Watanzania wote Maadhimisho mema ya miaka 63 ya UHURU. Tuzidi kuenzi Maono ya viongozi wetu kwa ajil...
09/12/2024

Tunapenda kuwatakia Watanzania wote Maadhimisho mema ya miaka 63 ya UHURU. Tuzidi kuenzi Maono ya viongozi wetu kwa ajili ya kesho bora ya vizazi vijavyo.

Usikubali Kumaliza Mwaka 2024 bila kukamilisha NDOTO zako. Zana za shambani za ndoto yako tunazo sisi,  Ukubwa wa shamba...
04/12/2024

Usikubali Kumaliza Mwaka 2024 bila kukamilisha NDOTO zako. Zana za shambani za ndoto yako tunazo sisi, Ukubwa wa shamba hauwezi kuwa tishio tena ukiwa na Zana za uhakika.

Kwa ushauri zaidi na manunuzi ya Zana za kilimo, Fika ofisini kwetu au tawi lililo karibu nawe au wasiliana nasi kwenda namba, 0762 444 330 au 0677 073 353 au 0677022430 au tuma barua pepe kwenda [email protected]




Baada ya Kilimo kinachofuata ni Mavuno. Jipange mapema ili upunguze gharama za usafiri kipindi chote cha Kilimo mpaka Ma...
28/11/2024

Baada ya Kilimo kinachofuata ni Mavuno. Jipange mapema ili upunguze gharama za usafiri kipindi chote cha Kilimo mpaka Mavuno. Mkulima makini daima hufanya uwekezaji sahihi kwa kuwa na nyenzo sahihi. Tunazo Trela za Trekta za tani tofauti, zenye uwezo wa kubinua na pia zipo ambazo hazibinui, chaguo ni lako tu.

Kwa mahitaji ya Zana za Kilimo za kisasa na Viunganishi mbalimbali vya Trekta , Fika ofisini kwetu au wasiliana nasi kwenda namba, 0762 444 330 au 0677 073 353 au 0677022430 au tuma barua pepe kwenda [email protected]




CHAGUO NI LAKO: Je shughuli zako za Shamba zinahitaji Trekta saizi NDOGO???...Hizo pia tunazo, ushindwe wewe tu. Zipo Tr...
27/11/2024

CHAGUO NI LAKO: Je shughuli zako za Shamba zinahitaji Trekta saizi NDOGO???...Hizo pia tunazo, ushindwe wewe tu. Zipo Trekta ndogo Kuanzia 18HP mpaka 30HP zenye gia 6 mbele na 2 nyuma, Kikubwa zaidi Trekta hizi zina matumizi madogo ya mafuta na zinaweza kufanya kazi muda mrefu.
Rahisisha sasa shughuli zako za kilimo kwa kuchagua zana sahihi zenye uhakika. Trekta zetu zinafaa kutumika kwenye udongo wa aina mbalimbali. Trekta za Sonalika hazijawai kushindwa.

Kwa mahitaji ya Trekta imara za Sonalika na viunganishi vyake, Fika ofisini kwetu au wasiliana nasi kwenda namba, 0762 444 330 au 0677 073 353 au 0677022430 au tuma barua pepe kwenda [email protected]




CHAGUO NI LAKO: Je shughuli zako za Shamba zinahitaji Trekta saizi ya KATI???...Usiumize kichwa tena...,Suluhisho lipo, ...
27/11/2024

CHAGUO NI LAKO: Je shughuli zako za Shamba zinahitaji Trekta saizi ya KATI???...Usiumize kichwa tena...,Suluhisho lipo, Tunazo Trekta mbalimbali kwa ajili yako Kuanzia 45HP mpaka 75HP zenye gia 8 mbele na 2 nyuma, Zinakusubiri WEWE tu.
Rahisisha Shughuli zako sasa kwa kuchagua zana sahihi zenye uhakika. Trekta zetu zinafaa kutumika kwenye udongo wa aina mbalimbali.

Kwa mahitaji ya Trekta imara za Sonalika na viunganishi vyake, Fika ofisini kwetu au wasiliana nasi kwenda namba, 0762 444 330 au 0677 073 353 au 0677022430 au tuma barua pepe kwenda [email protected]




CHAGUO NI LAKO: Je shughuli zako zinahitaji Trekta kubwa???...Basi ondoa shaka Tunazo Trekta mbalimbali kwa ajili yako K...
27/11/2024

CHAGUO NI LAKO: Je shughuli zako zinahitaji Trekta kubwa???...Basi ondoa shaka Tunazo Trekta mbalimbali kwa ajili yako Kuanzia 75HP mpaka 125HP zenye gia 12 na 24, Zinakusubiri WEWE tu.
Msimu wa Kilimo ndio huu, Changamka, rahisisha maisha kwa kuwa na zana sahihi zenye uhakika. Tuna Trekta zote zinazofaa kwenye udongo mbalimbali pamoja na Viunganishi vyake.

Kwa mahitaji ya Trekta imara za Sonalika, Fika ofisini kwetu au wasiliana nasi kwenda namba, 0762 444 330 au 0677 073 353 au 0677022430 au tuma barua pepe kwenda [email protected]




Address

Tegeta Nyaishozi
Dar Es Salaam
67445

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 00:00 - 13:00

Telephone

+255715710069

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Reliance Group Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Reliance Group Ltd:

Share